Misalaba ya ma kabuki ya Wakristo huko Tripol Lebanon yavunjwa na waislamu Dunia iko kimya!!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Misalaba yote ya Kikristo iliharibiwa na kuharibiwa katika makaburi ya Waorthodoksi katika jiji la Tripoli lenye Waislamu wengi, lililoko kaskazini mwa Lebanon.

Hii inaonyesha wazi waislamu wamekuwa ni tishio la Amani duniani!!
 
Attachments

  • 1399084628990042612.mp4
    26 MB
Misalaba yote ya Kikristo iliharibiwa na kuharibiwa katika makaburi ya Waorthodoksi katika jiji la Tripoli lenye Waislamu wengi, lililoko kaskazini mwa Lebanon.

Hii inaonyesha wazi waislamu wamekuwa ni tishio la Amani duniani!!
Hata Kariakoo palikua na makaburi kabla ya kujengwa soko, makaburi ya wakiristo nyerere kajengq soko
 
Hapo unaposema "dunia iko kimya" unamaanisha dunia gani hiyo?
Misalaba yote ya Kikristo iliharibiwa na kuharibiwa katika makaburi ya Waorthodoksi katika jiji la Tripoli lenye Waislamu wengi, lililoko kaskazini mwa Lebanon.

Hii inaonyesha wazi waislamu wamekuwa ni tishio la Amani duniani!!
 
Hapo unaposema "dunia iko kimya" unamaanisha dunia gani hiyo?
Kuna Askari mmoja wa Israel alivunja sanamu la Yesu “Dunia gani ilipiga kelele”?
Au unajitoa ufahamu kijinga?
 
Huwezi kusambaza ukristo kwa kuharibu misalaba, kufikiri kwa ufinyu na kuharibiwa akili na dini inapelekea yote hayo.
 
Misalaba yote ya Kikristo iliharibiwa na kuharibiwa katika makaburi ya Waorthodoksi katika jiji la Tripoli lenye Waislamu wengi, lililoko kaskazini mwa Lebanon.

Hii inaonyesha wazi waislamu wamekuwa ni tishio la Amani duniani!!

Lini umejifunza kiraabu !!
vip tutaamini Kwamba ni Waislamu ndio wamevunja ??

Waislam hawanaga matukio kama ayo

Lebanon ni ngumu kwa Waislamu kutekeleza ujinga kama uho !!
.wa Lebanon jamaaa washaa elimika sn !

Shobo za kuvunja Misalaba ni za Waisrael
Lkn wasiopenda iyo Misalaba sio Waisrael tu

hata Wakristo jamii ya Wasabato wanachukia sana kuwekwa Misalaba kwenye Makaburi✍️
 
1780532933046.png

1780532996854.png
 
Misalaba yote ya Kikristo iliharibiwa na kuharibiwa katika makaburi ya Waorthodoksi katika jiji la Tripoli lenye Waislamu wengi, lililoko kaskazini mwa Lebanon.

Hii inaonyesha wazi waislamu wamekuwa ni tishio la Amani duniani!!
Hata waisraeri kila siku ni kuwadhihaki wakatoliki na Dunia ipo kimya.....
 
Back
Top Bottom