Misamaha anayoombwa Rais Magufuli na wale wanaokiri kuwa wamemkosea ina walakini

Siku ikitokea na Mh. Bernard Membe naye akaomba msamaha kwa maandishi au kwa mdomo ili arudishwe chamani naombeni mnijulishe. Ule msemo wake wa 'bora ufe ukiwa umesimama kuliko uishi ukiwa umepiga magoti' nimeulewa sana.
Tate Mkuu
Imenenwa kuwa Anything can happen in politics...........

Lakini sidhani kwa msimamo wa huyo jamaa, kama itafikia hatua ya hivyo.......
 
Nimemsikikiza kwa makini mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais

Nimemsikiliza pia Mheshimiwa huyo Abdrahman Kinana akilalamika kuwa kiukweli alipotamka maneno hayo, alikerekwa, alihuzunika na alikasirishwa sana.........

Hakufafanua kuwa ni nini kilichomfanya Mheshimiwa Kinana, akerekwe, ahuzunike na akasirishwe sana na kama vitu hivyo vilivyomkasirisha wakati huo, vimekuwa "solved" kwa wakati huu

Hata hivyo anamalizia kwa kusema kuwa baada ya kufikiria kwa muda mrefu, anadhani ni muda muafaka kwake kumwomba msamaha Rais Magufuli, kwa kitendo alichokitenda ambacho anaamini kilimuudhi Mheshimiwa Rais na kwa kuwa yeye ni muungwana amelazimika kuchukua hatua hiyo ya kumwomba radhi Mheshimiwa Rais.

Hebu tutafakari kwa kina chanzo cha sakata hili zima la hao wazee wastaafu hadi kupelekea wawekwe kitimoto na kujadiliwa kwenye kikao cha juiu kabisa cha chama chao, kikao cha Kamati Kuu ya CCM

Mzozo wote huu chanzo chake ni kutokana na mtu mmoja anayeitwa Crispin Musiba kutoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na ambazo Wazee hao wastaafu waliona kuwa zimewavunjia heshima ndani ya jamii ya watanzania.

Hatua waliyochukua wazee hao ni kupeleka malalamiko yao kwenye uongozi wa chama chao, ambapo walidhani kuwa wangesikilizwa kwa kuitwa huyo mtu anayeitwa Musiba ili atoe ushahidi kwa yale anayowatuhumu

Bila shaka wote tulishuhudia kile kilichojitokeza baada ya hao wazee kuyafikisha.kwenye chombo husika cha maamuzi ndani ya chama chao.

Cha kushangaza ni kuwa hao waliopelekewa malalamiko hayo, wameyaona ya moto sana na hivyo kupata "kigugumizi" kuyajadili na hivyo kuyatupilia mbali!

Swali tunalojiuliza ni nani haswa anayemkingia kifua "kivuruge" huyu Cyprian Musiba, hadi vyombo husika vya maamiluzi vya chama, hata na vyombo vya sheria vya mahakama vipate "kigugumizi" kutoweza kumjadili kabisa??

Bila "ku-solve root cause" ya tatizo lenyewe ambaye ni huyu mtu amayeitwa Cyprian Musiba, hii misamaha inayodaiwa inaombwa na wahusika itakuwa kiini macho, na bado moshi utakuwa unaendelea kifukuta chini kwa nchini na siku moto huo utakapokuja kulipuka, hakuna wa kuweza kuuzima!

Hebu tujiulize ni nani has a huyu mtu anayemkingia.kifua huyu mtu Cyprian Musiba hadi vyombo vya maamuzi vya chama na vyombo vya sheria vishikwe na "mchecheto" na kutoweza kimjadili kabisa??

Ninachotahadharisha ni kuwa kwa kuwa wastaafu hao wamegundua "weakness" yake Mheshimiwa mkubwa kabisa, basi nadhani wameshauriwa "bora liishe" kwa kuomba msamaha na atafurahi Bwana mkubwa kwa kuamini ya kwamba yeye ndiye anayegopewa kuliko mtu yeyote hapa nchini

Tahadhari kubwa ninayoitoa hapa ni kuwa misamaha ya aina hiyo haitoki ndani ya mioyo yao hao watu, Bali ni kuubali tu yaishe ili maisha yaendelee na wabaki kwenye "system"
Wewe acha kujifanya unadukua akilini kwa watu.
 
Nimemsikikiza kwa makini mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais

Nimemsikiliza pia Mheshimiwa huyo Abdrahman Kinana akilalamika kuwa kiukweli alipotamka maneno hayo, alikerekwa, alihuzunika na alikasirishwa sana.........

Hakufafanua kuwa ni nini kilichomfanya Mheshimiwa Kinana, akerekwe, ahuzunike na akasirishwe sana na kama vitu hivyo vilivyomkasirisha wakati huo, vimekuwa "solved" kwa wakati huu

Hata hivyo anamalizia kwa kusema kuwa baada ya kufikiria kwa muda mrefu, anadhani ni muda muafaka kwake kumwomba msamaha Rais Magufuli, kwa kitendo alichokitenda ambacho anaamini kilimuudhi Mheshimiwa Rais na kwa kuwa yeye ni muungwana amelazimika kuchukua hatua hiyo ya kumwomba radhi Mheshimiwa Rais.

Hebu tutafakari kwa kina chanzo cha sakata hili zima la hao wazee wastaafu hadi kupelekea wawekwe kitimoto na kujadiliwa kwenye kikao cha juiu kabisa cha chama chao, kikao cha Kamati Kuu ya CCM

Mzozo wote huu chanzo chake ni kutokana na mtu mmoja anayeitwa Crispin Musiba kutoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na ambazo Wazee hao wastaafu waliona kuwa zimewavunjia heshima ndani ya jamii ya watanzania.

Hatua waliyochukua wazee hao ni kupeleka malalamiko yao kwenye uongozi wa chama chao, ambapo walidhani kuwa wangesikilizwa kwa kuitwa huyo mtu anayeitwa Musiba ili atoe ushahidi kwa yale anayowatuhumu

Bila shaka wote tulishuhudia kile kilichojitokeza baada ya hao wazee kuyafikisha kwenye chombo husika cha maamuzi ndani ya chama chao.

Cha kushangaza ni kuwa hao waliopelekewa malalamiko hayo, waliyaona ya moto sana na hivyo kupata "kigugumizi" kuyajadili na hivyo kuyatupilia mbali!

Swali tunalojiuliza ni nani haswa anayemkingia kifua "kivuruge" huyu Cyprian Musiba, hadi vyombo husika vya maamuzi vya chama, hata na vyombo vya sheria vya mahakama vipate "kigugumizi" kutoweza kumjadili kabisa??

Bila "ku-solve root cause" ya tatizo lenyewe ambaye ni huyu mtu amayeitwa Cyprian Musiba, hii misamaha inayodaiwa inaombwa na wahusika itakuwa kiini macho, na bado moshi utakuwa unaendelea kufukuta chini kwa chini na siku moto huo utakapokuja kulipuka, hakuna wa kuweza kuuzima!

Hebu tujiulize ni nani hasa huyu mtu anayemkingia kifua huyu mtu Cyprian Musiba hadi vyombo vya maamuzi vya chama na vyombo vya sheria vishikwe na "mchecheto" na kutoweza kumjadili kabisa??

Ninachotahadharisha ni kuwa kwa kuwa wastaafu hao wamegundua "weakness" yake Mheshimiwa mkubwa kabisa, basi nadhani wameshauriwa na watu wao wa karibu kuwa "bora liishe" kwa kuomba msamaha na huyo Mheshimiwa mkubwa kabisa atafurahi kwa kuamini ya kwamba yeye ndiye anayegopewa kuliko mtu yeyote hapa nchini!

Tahadhari kubwa ninayoitoa hapa ni kuwa misamaha ya aina hiyo haitoki ndani ya mioyo yao hao watu, Bali ni kukubali tu yaishe ili maisha yaendelee na wabaki kwenye "system"
Nani kakudanganya ya kwamba source ya issue ya kina Kinana ni Musiba?,hujui na hutajua ,msamaha wanayoomba iwe inatoka moyoni au sio moyoni ni jukumu lao,hata hivyo aombwae nae huwezi jua anasamehe toka moyoni au la!,wote ni kwale kwelikweli
 
Hana uwezo huo, kazi yake ni kaparamia. Ila siku atakapoparamiwa ndo atakapojua uchungu wa maganda ya miwa.
Wote nyie na mleta mada akiki zenu visoda!

Mlisema Kinana anajielewa hawezi kuomba rqdhi kama kina Nape na Januari.

Haya huyo sasa Kinana kaomba radhi tena hadharani.

The same kwa Membe mlisema yule ni kachero mbobezi hakuna cha kufanywa, haya ndio huyo katimuliwa!

Mnapaswa kujua ccm si kama chadema kwamba mtu anakuwa mkubwa kuliko chama.
Huwa mnanishangaza sana hata mnapo sema Mbowe akiachia uenyekiti chadema inakufa, maama yake ni kwamba chadema si taasisi bali ni mtu ambae ni Mbowe, na siku Mungu akimchukua chadema ndio kwa heri!
 
Inawezekana ni sababu ya utu uzima hivyo kaona ajishushe tu, ameamua kuepusha mashindano.

Japo wengine wanasema ameogopa kudaiwa ushuru wa makontena yake 700 yaliyoko bandarini.
 
Kinana kama wana ccm wengine ana tuhuma zake za uhalifu aliyofanya akiwa kwenye utumishi hivyo labda baada ya kusikia hizo tuhuma zinaweza kufanyiwa kazi, ikabidi ajiongeze.

Itakumbukwa kua Kinana amewahi kuhusishwa na utoroshwaji wa wanyamapori kwenda nje ya nchi kinyume cha sheria na hakuwahi kuchunguzwa kwa hizo tuhuma kwani yeye siyo mpinzani.

Lakini kwa utaratibu wa hii serikali kutokubali kukosolewa ni dhahiri hili lilikuwa linamuweka Kinana ktk hali tete sana hali ambayo labda ndio imepelekea achukue hiyo hatua aliyochukua.
 
Nimemsikikiza kwa makini mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais

Nimemsikiliza pia Mheshimiwa huyo Abdrahman Kinana akilalamika kuwa kiukweli alipotamka maneno hayo, alikerekwa, alihuzunika na alikasirishwa sana.

Hakufafanua kuwa ni nini kilichomfanya Mheshimiwa Kinana, akerekwe, ahuzunike na akasirishwe sana na kama vitu hivyo vilivyomkasirisha wakati huo, vimekuwa "solved" kwa wakati huu

Hata hivyo anamalizia kwa kusema kuwa baada ya kufikiria kwa muda mrefu, anadhani ni muda muafaka kwake kumwomba msamaha Rais Magufuli, kwa kitendo alichokitenda ambacho anaamini kilimuudhi Mheshimiwa Rais na kwa kuwa yeye ni muungwana amelazimika kuchukua hatua hiyo ya kumwomba radhi Mheshimiwa Rais.

Hebu tutafakari kwa kina chanzo cha sakata hili zima la hao wazee wastaafu hadi kupelekea wawekwe kitimoto na kujadiliwa kwenye kikao cha juiu kabisa cha chama chao, kikao cha Kamati Kuu ya CCM

Mzozo wote huu chanzo chake ni kutokana na mtu mmoja anayeitwa Crispin Musiba kutoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na ambazo Wazee hao wastaafu waliona kuwa zimewavunjia heshima ndani ya jamii ya watanzania.

Hatua waliyochukua wazee hao ni kupeleka malalamiko yao kwenye uongozi wa chama chao, ambapo walidhani kuwa wangesikilizwa kwa kuitwa huyo mtu anayeitwa Musiba ili atoe ushahidi kwa yale anayowatuhumu

Bila shaka wote tulishuhudia kile kilichojitokeza baada ya hao wazee kuyafikisha kwenye chombo husika cha maamuzi ndani ya chama chao.

Cha kushangaza ni kuwa hao waliopelekewa malalamiko hayo, waliyaona ya moto sana na hivyo kupata "kigugumizi" kuyajadili na hivyo kuyatupilia mbali!

Swali tunalojiuliza ni nani haswa anayemkingia kifua "kivuruge" huyu Cyprian Musiba, hadi vyombo husika vya maamuzi vya chama, hata na vyombo vya sheria vya mahakama vipate "kigugumizi" kutoweza kumjadili kabisa??

Bila "ku-solve root cause" ya tatizo lenyewe ambaye ni huyu mtu amayeitwa Cyprian Musiba, hii misamaha inayodaiwa inaombwa na wahusika itakuwa kiini macho, na bado moshi utakuwa unaendelea kufukuta chini kwa chini na siku moto huo utakapokuja kulipuka, hakuna wa kuweza kuuzima!

Hebu tujiulize ni nani hasa huyu mtu anayemkingia kifua huyu mtu Cyprian Musiba hadi vyombo vya maamuzi vya chama na vyombo vya sheria vishikwe na "mchecheto" na kutoweza kumjadili kabisa??

Ninachotahadharisha ni kuwa kwa kuwa wastaafu hao wamegundua "weakness" yake Mheshimiwa mkubwa kabisa, basi nadhani wameshauriwa na watu wao wa karibu kuwa "bora liishe" kwa kuomba msamaha na huyo Mheshimiwa mkubwa kabisa atafurahi kwa kuamini ya kwamba yeye ndiye anayegopewa kuliko mtu yeyote hapa nchini!

Tahadhari kubwa ninayoitoa hapa ni kuwa misamaha ya aina hiyo haitoki ndani ya mioyo yao hao watu, Bali ni kukubali tu yaishe ili maisha yaendelee na wabaki kwenye "system"
Musiba alikuwa sahihi na yote aliyosema ndio yaliotokea pale mazungumzo yalipovuja.

Wewe mleta mada tatizo lako ni kuona CCM wakizidi kuimarika kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

Hebu jiulize kama mazungumzo yale yasingevuja, harakati za wazee hawa zingeishia wapi kama sio kukivuruga chama cha mapinduzi CCM.

Tunaelewa kwa wale msioitakia mema CCM hili halikuwafurahisha hata kidogo na ndio maana Musiba anaendelea kuwa adui wenu namba moja mitandaoni.
 
the truecaller
Hebu nikuulize wewe unayetetea hiyo kitu, unajua kuwa kwenye sheria kuna kitu kinaitwa the right to be heard?

Kama ni hivyo ingetolewa fursa kwa walalamikaji akina Kinana kuleta malalamiko yao na mtuhumiwa Cyprian Musiba kujibu hoja zao

Nieleze ni lini kikao hicho cha akina Kinana kilifanyika na huyo mtuhumiwa Cyprian Musiba aliitwa kwenye kikao hicho kuleta huo ushahidi wake??

Zaidi sana tulichosikia ni hao akina Kinana kujadiliwa na kikao cha Kamati Kuu ya CCM na kutolewa maamuzi!
 
Mkuu huyo Musiba hata kama hana akili hawezi kuandika hivi kwa chama alichopo.
Jamani mimi sijui kama nimepitwa na wakati hivi zile clip au kanda sijui zilizokuwa na sauti za maongezi za hawa waheshimiwa zilikuwa na uongo? Mbona walioomba radhi ni wengi? Nape, January n.k. Sasa kosa la Musiba ni nini ku unearth hayo mazungumzo? Kama ni uongo hakika Kinana asingeomba radhi ni aibu tu inamsuta. JPM ni mkristo najua alishawasamehe kitambo. Sasa hivi tunashukuru wanyama wamezaliana sana mpaka wanahamia mijini na kula mazao ya wakulima. Watalii watafaidi sana kuwaona Tembo, Vifaru, Simba kwa wingi.
 
Mshana Jr
Nimeemini kweli huu ni wakati wa uchaguzi, ndiyo sababu yote haya yanatokea.......

Wakiamini kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.

Lakini wanachosahau hao watu ni kuwa "hawaja-solve root cause" ya sakata zima hili ambaye ni huyu kivuruge Cyprian Musiba

Huo msamaha kuna wanaccm wanataka eti Lissu naye aombe msamaha kwa Magufuli. Hivyo inawezekana ni msamaha wa kimkakati.
 
Nimemsikikiza kwa makini mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais

Nimemsikiliza pia Mheshimiwa huyo Abdrahman Kinana akilalamika kuwa kiukweli alipotamka maneno hayo, alikerekwa, alihuzunika na alikasirishwa sana.

Hakufafanua kuwa ni nini kilichomfanya Mheshimiwa Kinana, akerekwe, ahuzunike na akasirishwe sana na kama vitu hivyo vilivyomkasirisha wakati huo, vimekuwa "solved" kwa wakati huu

Hata hivyo anamalizia kwa kusema kuwa baada ya kufikiria kwa muda mrefu, anadhani ni muda muafaka kwake kumwomba msamaha Rais Magufuli, kwa kitendo alichokitenda ambacho anaamini kilimuudhi Mheshimiwa Rais na kwa kuwa yeye ni muungwana amelazimika kuchukua hatua hiyo ya kumwomba radhi Mheshimiwa Rais.

Hebu tutafakari kwa kina chanzo cha sakata hili zima la hao wazee wastaafu hadi kupelekea wawekwe kitimoto na kujadiliwa kwenye kikao cha juiu kabisa cha chama chao, kikao cha Kamati Kuu ya CCM

Mzozo wote huu chanzo chake ni kutokana na mtu mmoja anayeitwa Crispin Musiba kutoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na ambazo Wazee hao wastaafu waliona kuwa zimewavunjia heshima ndani ya jamii ya watanzania.

Hatua waliyochukua wazee hao ni kupeleka malalamiko yao kwenye uongozi wa chama chao, ambapo walidhani kuwa wangesikilizwa kwa kuitwa huyo mtu anayeitwa Musiba ili atoe ushahidi kwa yale anayowatuhumu

Bila shaka wote tulishuhudia kile kilichojitokeza baada ya hao wazee kuyafikisha kwenye chombo husika cha maamuzi ndani ya chama chao.

Cha kushangaza ni kuwa hao waliopelekewa malalamiko hayo, waliyaona ya moto sana na hivyo kupata "kigugumizi" kuyajadili na hivyo kuyatupilia mbali!

Swali tunalojiuliza ni nani haswa anayemkingia kifua "kivuruge" huyu Cyprian Musiba, hadi vyombo husika vya maamuzi vya chama, hata na vyombo vya sheria vya mahakama vipate "kigugumizi" kutoweza kumjadili kabisa??

Bila "ku-solve root cause" ya tatizo lenyewe ambaye ni huyu mtu amayeitwa Cyprian Musiba, hii misamaha inayodaiwa inaombwa na wahusika itakuwa kiini macho, na bado moshi utakuwa unaendelea kufukuta chini kwa chini na siku moto huo utakapokuja kulipuka, hakuna wa kuweza kuuzima!

Hebu tujiulize ni nani hasa huyu mtu anayemkingia kifua huyu mtu Cyprian Musiba hadi vyombo vya maamuzi vya chama na vyombo vya sheria vishikwe na "mchecheto" na kutoweza kumjadili kabisa??

Ninachotahadharisha ni kuwa kwa kuwa wastaafu hao wamegundua "weakness" yake Mheshimiwa mkubwa kabisa, basi nadhani wameshauriwa na watu wao wa karibu kuwa "bora liishe" kwa kuomba msamaha na huyo Mheshimiwa mkubwa kabisa atafurahi kwa kuamini ya kwamba yeye ndiye anayegopewa kuliko mtu yeyote hapa nchini!

Tahadhari kubwa ninayoitoa hapa ni kuwa misamaha ya aina hiyo haitoki ndani ya mioyo yao hao watu, Bali ni kukubali tu yaishe ili maisha yaendelee na wabaki kwenye "system"
Makontena 700 aliyokwepa kodi ndo chanzo chake cha kuomba msamaha ,bila hivo Angekaa jela miaka 700
 
Ngonjera ndeefu!nini huwelewi hapo?we haujui wanaogopa kesi zisizo na dhamana?au kujikuta kwenye kiroba??
 
Hao wacha wavune walichopanda ni sikio la kufa Walishauriwa Sana walipokuwa na nafasi ya kufanya mabadiliko kwa watengeneze katiba Bora isiyotukuuza uungu mtu yaani kusiwe na mtu ni mkubwa kuliko chama lkn waliweka pamba,wakapanda miba njiani hivo inawachoma.Si makamba senior Wala junia wote wamebatizwa kwa moto
 
Propaganda za CCM Ni za kitoto yaani watukanane
Halafu wajitokeze kuombana misamaha Ni aibu
 
Hao wacha wavune walichopanda ni sikio la kufa Walishauriwa Sana walipokuwa na nafasi ya kufanya mabadiliko kwa watengeneze katiba Bora isiyotukuuza uungu mtu yaani kusiwe na mtu ni mkubwa kuliko chama lkn waliweka pamba,wakapanda miba njiani hivo inawachoma.Si makamba senior Wala junia wote wamebatizwa kwa moto
Nashangaa watu kujibaraguza mitandaoni kuwatafutia huruma watu ambao kwa mikono yao walijenga mfumo kandamizi. Ni hawa hawa waliovuruga mchakato wa katiba mpya ambao ulikuwa zao la nguvu ya upinzani wakati huo.

Vichwa vya panzi wamesahau na sasa wanawapigia chapuo. Ya ccm waachieni wenyewe.

Walioomba radhi iwe wanamaanisha au hawamaanishi hawamsumbui mwenyekiti. Bali ni wao waliopoteza na sasa hawana pa kushikilia. Na ikiwa misamaha yao ni ya kinafiki basi wajue wanazidi kujichimbia makaburi.

Unakiri kosa na kuomba radhi kinafiki! Unaiweka wapi nafasi yako kisiasa? Pia wafuasi wa upinzani wajue mambo yanayowahusu na yale yasiyowahusu. Ya ccm wawaachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom