Tate MkuuSiku ikitokea na Mh. Bernard Membe naye akaomba msamaha kwa maandishi au kwa mdomo ili arudishwe chamani naombeni mnijulishe. Ule msemo wake wa 'bora ufe ukiwa umesimama kuliko uishi ukiwa umepiga magoti' nimeulewa sana.
Wewe acha kujifanya unadukua akilini kwa watu.Nimemsikikiza kwa makini mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais
Nimemsikiliza pia Mheshimiwa huyo Abdrahman Kinana akilalamika kuwa kiukweli alipotamka maneno hayo, alikerekwa, alihuzunika na alikasirishwa sana.........
Hakufafanua kuwa ni nini kilichomfanya Mheshimiwa Kinana, akerekwe, ahuzunike na akasirishwe sana na kama vitu hivyo vilivyomkasirisha wakati huo, vimekuwa "solved" kwa wakati huu
Hata hivyo anamalizia kwa kusema kuwa baada ya kufikiria kwa muda mrefu, anadhani ni muda muafaka kwake kumwomba msamaha Rais Magufuli, kwa kitendo alichokitenda ambacho anaamini kilimuudhi Mheshimiwa Rais na kwa kuwa yeye ni muungwana amelazimika kuchukua hatua hiyo ya kumwomba radhi Mheshimiwa Rais.
Hebu tutafakari kwa kina chanzo cha sakata hili zima la hao wazee wastaafu hadi kupelekea wawekwe kitimoto na kujadiliwa kwenye kikao cha juiu kabisa cha chama chao, kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Mzozo wote huu chanzo chake ni kutokana na mtu mmoja anayeitwa Crispin Musiba kutoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na ambazo Wazee hao wastaafu waliona kuwa zimewavunjia heshima ndani ya jamii ya watanzania.
Hatua waliyochukua wazee hao ni kupeleka malalamiko yao kwenye uongozi wa chama chao, ambapo walidhani kuwa wangesikilizwa kwa kuitwa huyo mtu anayeitwa Musiba ili atoe ushahidi kwa yale anayowatuhumu
Bila shaka wote tulishuhudia kile kilichojitokeza baada ya hao wazee kuyafikisha.kwenye chombo husika cha maamuzi ndani ya chama chao.
Cha kushangaza ni kuwa hao waliopelekewa malalamiko hayo, wameyaona ya moto sana na hivyo kupata "kigugumizi" kuyajadili na hivyo kuyatupilia mbali!
Swali tunalojiuliza ni nani haswa anayemkingia kifua "kivuruge" huyu Cyprian Musiba, hadi vyombo husika vya maamiluzi vya chama, hata na vyombo vya sheria vya mahakama vipate "kigugumizi" kutoweza kumjadili kabisa??
Bila "ku-solve root cause" ya tatizo lenyewe ambaye ni huyu mtu amayeitwa Cyprian Musiba, hii misamaha inayodaiwa inaombwa na wahusika itakuwa kiini macho, na bado moshi utakuwa unaendelea kifukuta chini kwa nchini na siku moto huo utakapokuja kulipuka, hakuna wa kuweza kuuzima!
Hebu tujiulize ni nani has a huyu mtu anayemkingia.kifua huyu mtu Cyprian Musiba hadi vyombo vya maamuzi vya chama na vyombo vya sheria vishikwe na "mchecheto" na kutoweza kimjadili kabisa??
Ninachotahadharisha ni kuwa kwa kuwa wastaafu hao wamegundua "weakness" yake Mheshimiwa mkubwa kabisa, basi nadhani wameshauriwa "bora liishe" kwa kuomba msamaha na atafurahi Bwana mkubwa kwa kuamini ya kwamba yeye ndiye anayegopewa kuliko mtu yeyote hapa nchini
Tahadhari kubwa ninayoitoa hapa ni kuwa misamaha ya aina hiyo haitoki ndani ya mioyo yao hao watu, Bali ni kuubali tu yaishe ili maisha yaendelee na wabaki kwenye "system"
Nani kakudanganya ya kwamba source ya issue ya kina Kinana ni Musiba?,hujui na hutajua ,msamaha wanayoomba iwe inatoka moyoni au sio moyoni ni jukumu lao,hata hivyo aombwae nae huwezi jua anasamehe toka moyoni au la!,wote ni kwale kwelikweliNimemsikikiza kwa makini mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais
Nimemsikiliza pia Mheshimiwa huyo Abdrahman Kinana akilalamika kuwa kiukweli alipotamka maneno hayo, alikerekwa, alihuzunika na alikasirishwa sana.........
Hakufafanua kuwa ni nini kilichomfanya Mheshimiwa Kinana, akerekwe, ahuzunike na akasirishwe sana na kama vitu hivyo vilivyomkasirisha wakati huo, vimekuwa "solved" kwa wakati huu
Hata hivyo anamalizia kwa kusema kuwa baada ya kufikiria kwa muda mrefu, anadhani ni muda muafaka kwake kumwomba msamaha Rais Magufuli, kwa kitendo alichokitenda ambacho anaamini kilimuudhi Mheshimiwa Rais na kwa kuwa yeye ni muungwana amelazimika kuchukua hatua hiyo ya kumwomba radhi Mheshimiwa Rais.
Hebu tutafakari kwa kina chanzo cha sakata hili zima la hao wazee wastaafu hadi kupelekea wawekwe kitimoto na kujadiliwa kwenye kikao cha juiu kabisa cha chama chao, kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Mzozo wote huu chanzo chake ni kutokana na mtu mmoja anayeitwa Crispin Musiba kutoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na ambazo Wazee hao wastaafu waliona kuwa zimewavunjia heshima ndani ya jamii ya watanzania.
Hatua waliyochukua wazee hao ni kupeleka malalamiko yao kwenye uongozi wa chama chao, ambapo walidhani kuwa wangesikilizwa kwa kuitwa huyo mtu anayeitwa Musiba ili atoe ushahidi kwa yale anayowatuhumu
Bila shaka wote tulishuhudia kile kilichojitokeza baada ya hao wazee kuyafikisha kwenye chombo husika cha maamuzi ndani ya chama chao.
Cha kushangaza ni kuwa hao waliopelekewa malalamiko hayo, waliyaona ya moto sana na hivyo kupata "kigugumizi" kuyajadili na hivyo kuyatupilia mbali!
Swali tunalojiuliza ni nani haswa anayemkingia kifua "kivuruge" huyu Cyprian Musiba, hadi vyombo husika vya maamuzi vya chama, hata na vyombo vya sheria vya mahakama vipate "kigugumizi" kutoweza kumjadili kabisa??
Bila "ku-solve root cause" ya tatizo lenyewe ambaye ni huyu mtu amayeitwa Cyprian Musiba, hii misamaha inayodaiwa inaombwa na wahusika itakuwa kiini macho, na bado moshi utakuwa unaendelea kufukuta chini kwa chini na siku moto huo utakapokuja kulipuka, hakuna wa kuweza kuuzima!
Hebu tujiulize ni nani hasa huyu mtu anayemkingia kifua huyu mtu Cyprian Musiba hadi vyombo vya maamuzi vya chama na vyombo vya sheria vishikwe na "mchecheto" na kutoweza kumjadili kabisa??
Ninachotahadharisha ni kuwa kwa kuwa wastaafu hao wamegundua "weakness" yake Mheshimiwa mkubwa kabisa, basi nadhani wameshauriwa na watu wao wa karibu kuwa "bora liishe" kwa kuomba msamaha na huyo Mheshimiwa mkubwa kabisa atafurahi kwa kuamini ya kwamba yeye ndiye anayegopewa kuliko mtu yeyote hapa nchini!
Tahadhari kubwa ninayoitoa hapa ni kuwa misamaha ya aina hiyo haitoki ndani ya mioyo yao hao watu, Bali ni kukubali tu yaishe ili maisha yaendelee na wabaki kwenye "system"
Kuna mengi yanakuja mkuu , endelea kubaki hapa hapa JF
Wote nyie na mleta mada akiki zenu visoda!Hana uwezo huo, kazi yake ni kaparamia. Ila siku atakapoparamiwa ndo atakapojua uchungu wa maganda ya miwa.
Mshana una uhakika hiyo ni account ya Musiba ?
Wakakini maana yake nini kwa kiswahili ?Na ule msamaha wa Msigwa kwenda kwa Kinana wenyewe haukuwa na wakakini?
Musiba alikuwa sahihi na yote aliyosema ndio yaliotokea pale mazungumzo yalipovuja.Nimemsikikiza kwa makini mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais
Nimemsikiliza pia Mheshimiwa huyo Abdrahman Kinana akilalamika kuwa kiukweli alipotamka maneno hayo, alikerekwa, alihuzunika na alikasirishwa sana.
Hakufafanua kuwa ni nini kilichomfanya Mheshimiwa Kinana, akerekwe, ahuzunike na akasirishwe sana na kama vitu hivyo vilivyomkasirisha wakati huo, vimekuwa "solved" kwa wakati huu
Hata hivyo anamalizia kwa kusema kuwa baada ya kufikiria kwa muda mrefu, anadhani ni muda muafaka kwake kumwomba msamaha Rais Magufuli, kwa kitendo alichokitenda ambacho anaamini kilimuudhi Mheshimiwa Rais na kwa kuwa yeye ni muungwana amelazimika kuchukua hatua hiyo ya kumwomba radhi Mheshimiwa Rais.
Hebu tutafakari kwa kina chanzo cha sakata hili zima la hao wazee wastaafu hadi kupelekea wawekwe kitimoto na kujadiliwa kwenye kikao cha juiu kabisa cha chama chao, kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Mzozo wote huu chanzo chake ni kutokana na mtu mmoja anayeitwa Crispin Musiba kutoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na ambazo Wazee hao wastaafu waliona kuwa zimewavunjia heshima ndani ya jamii ya watanzania.
Hatua waliyochukua wazee hao ni kupeleka malalamiko yao kwenye uongozi wa chama chao, ambapo walidhani kuwa wangesikilizwa kwa kuitwa huyo mtu anayeitwa Musiba ili atoe ushahidi kwa yale anayowatuhumu
Bila shaka wote tulishuhudia kile kilichojitokeza baada ya hao wazee kuyafikisha kwenye chombo husika cha maamuzi ndani ya chama chao.
Cha kushangaza ni kuwa hao waliopelekewa malalamiko hayo, waliyaona ya moto sana na hivyo kupata "kigugumizi" kuyajadili na hivyo kuyatupilia mbali!
Swali tunalojiuliza ni nani haswa anayemkingia kifua "kivuruge" huyu Cyprian Musiba, hadi vyombo husika vya maamuzi vya chama, hata na vyombo vya sheria vya mahakama vipate "kigugumizi" kutoweza kumjadili kabisa??
Bila "ku-solve root cause" ya tatizo lenyewe ambaye ni huyu mtu amayeitwa Cyprian Musiba, hii misamaha inayodaiwa inaombwa na wahusika itakuwa kiini macho, na bado moshi utakuwa unaendelea kufukuta chini kwa chini na siku moto huo utakapokuja kulipuka, hakuna wa kuweza kuuzima!
Hebu tujiulize ni nani hasa huyu mtu anayemkingia kifua huyu mtu Cyprian Musiba hadi vyombo vya maamuzi vya chama na vyombo vya sheria vishikwe na "mchecheto" na kutoweza kumjadili kabisa??
Ninachotahadharisha ni kuwa kwa kuwa wastaafu hao wamegundua "weakness" yake Mheshimiwa mkubwa kabisa, basi nadhani wameshauriwa na watu wao wa karibu kuwa "bora liishe" kwa kuomba msamaha na huyo Mheshimiwa mkubwa kabisa atafurahi kwa kuamini ya kwamba yeye ndiye anayegopewa kuliko mtu yeyote hapa nchini!
Tahadhari kubwa ninayoitoa hapa ni kuwa misamaha ya aina hiyo haitoki ndani ya mioyo yao hao watu, Bali ni kukubali tu yaishe ili maisha yaendelee na wabaki kwenye "system"
the truecallerMusiba alikuwa sahihi na yote aliyosema ndio yaliotokea pale mazungumzo yalipovuja.
Wewe mleta mada tatizo lako ni kuona CCM wakizidi kuimarika kuelekea uchaguzi mkuu ujao.
Hebu jiulize kama mazungumzo yale yasingevuja, harakati za wazee hawa zingeishia wapi kama sio kukivuruga chama cha mapinduzi CCM.
Tunaelewa kwa wale msioitakia mema CCM hili halikuwafurahisha hata kidogo na ndio maana Musiba anaendelea kuwa adui wenu namba moja mitandaoni.
Jamani mimi sijui kama nimepitwa na wakati hivi zile clip au kanda sijui zilizokuwa na sauti za maongezi za hawa waheshimiwa zilikuwa na uongo? Mbona walioomba radhi ni wengi? Nape, January n.k. Sasa kosa la Musiba ni nini ku unearth hayo mazungumzo? Kama ni uongo hakika Kinana asingeomba radhi ni aibu tu inamsuta. JPM ni mkristo najua alishawasamehe kitambo. Sasa hivi tunashukuru wanyama wamezaliana sana mpaka wanahamia mijini na kula mazao ya wakulima. Watalii watafaidi sana kuwaona Tembo, Vifaru, Simba kwa wingi.Mkuu huyo Musiba hata kama hana akili hawezi kuandika hivi kwa chama alichopo.
Mshana Jr
Nimeemini kweli huu ni wakati wa uchaguzi, ndiyo sababu yote haya yanatokea.......
Wakiamini kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
Lakini wanachosahau hao watu ni kuwa "hawaja-solve root cause" ya sakata zima hili ambaye ni huyu kivuruge Cyprian Musiba
Makontena 700 aliyokwepa kodi ndo chanzo chake cha kuomba msamaha ,bila hivo Angekaa jela miaka 700Nimemsikikiza kwa makini mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Abdrahman Kinana, kwa taarifa yake aliyotoa kwa Umma kwa kile alichokiita mwenyewe kuwa anaomba msamaha kwa Rais Magufuli kwa yale maneno yaliyonaswa kwenye video clip, ambayo anaamini yalimkera Mheshimiwa Rais
Nimemsikiliza pia Mheshimiwa huyo Abdrahman Kinana akilalamika kuwa kiukweli alipotamka maneno hayo, alikerekwa, alihuzunika na alikasirishwa sana.
Hakufafanua kuwa ni nini kilichomfanya Mheshimiwa Kinana, akerekwe, ahuzunike na akasirishwe sana na kama vitu hivyo vilivyomkasirisha wakati huo, vimekuwa "solved" kwa wakati huu
Hata hivyo anamalizia kwa kusema kuwa baada ya kufikiria kwa muda mrefu, anadhani ni muda muafaka kwake kumwomba msamaha Rais Magufuli, kwa kitendo alichokitenda ambacho anaamini kilimuudhi Mheshimiwa Rais na kwa kuwa yeye ni muungwana amelazimika kuchukua hatua hiyo ya kumwomba radhi Mheshimiwa Rais.
Hebu tutafakari kwa kina chanzo cha sakata hili zima la hao wazee wastaafu hadi kupelekea wawekwe kitimoto na kujadiliwa kwenye kikao cha juiu kabisa cha chama chao, kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Mzozo wote huu chanzo chake ni kutokana na mtu mmoja anayeitwa Crispin Musiba kutoa tuhuma nzito zisizo na ushahidi na ambazo Wazee hao wastaafu waliona kuwa zimewavunjia heshima ndani ya jamii ya watanzania.
Hatua waliyochukua wazee hao ni kupeleka malalamiko yao kwenye uongozi wa chama chao, ambapo walidhani kuwa wangesikilizwa kwa kuitwa huyo mtu anayeitwa Musiba ili atoe ushahidi kwa yale anayowatuhumu
Bila shaka wote tulishuhudia kile kilichojitokeza baada ya hao wazee kuyafikisha kwenye chombo husika cha maamuzi ndani ya chama chao.
Cha kushangaza ni kuwa hao waliopelekewa malalamiko hayo, waliyaona ya moto sana na hivyo kupata "kigugumizi" kuyajadili na hivyo kuyatupilia mbali!
Swali tunalojiuliza ni nani haswa anayemkingia kifua "kivuruge" huyu Cyprian Musiba, hadi vyombo husika vya maamuzi vya chama, hata na vyombo vya sheria vya mahakama vipate "kigugumizi" kutoweza kumjadili kabisa??
Bila "ku-solve root cause" ya tatizo lenyewe ambaye ni huyu mtu amayeitwa Cyprian Musiba, hii misamaha inayodaiwa inaombwa na wahusika itakuwa kiini macho, na bado moshi utakuwa unaendelea kufukuta chini kwa chini na siku moto huo utakapokuja kulipuka, hakuna wa kuweza kuuzima!
Hebu tujiulize ni nani hasa huyu mtu anayemkingia kifua huyu mtu Cyprian Musiba hadi vyombo vya maamuzi vya chama na vyombo vya sheria vishikwe na "mchecheto" na kutoweza kumjadili kabisa??
Ninachotahadharisha ni kuwa kwa kuwa wastaafu hao wamegundua "weakness" yake Mheshimiwa mkubwa kabisa, basi nadhani wameshauriwa na watu wao wa karibu kuwa "bora liishe" kwa kuomba msamaha na huyo Mheshimiwa mkubwa kabisa atafurahi kwa kuamini ya kwamba yeye ndiye anayegopewa kuliko mtu yeyote hapa nchini!
Tahadhari kubwa ninayoitoa hapa ni kuwa misamaha ya aina hiyo haitoki ndani ya mioyo yao hao watu, Bali ni kukubali tu yaishe ili maisha yaendelee na wabaki kwenye "system"
Nashangaa watu kujibaraguza mitandaoni kuwatafutia huruma watu ambao kwa mikono yao walijenga mfumo kandamizi. Ni hawa hawa waliovuruga mchakato wa katiba mpya ambao ulikuwa zao la nguvu ya upinzani wakati huo.Hao wacha wavune walichopanda ni sikio la kufa Walishauriwa Sana walipokuwa na nafasi ya kufanya mabadiliko kwa watengeneze katiba Bora isiyotukuuza uungu mtu yaani kusiwe na mtu ni mkubwa kuliko chama lkn waliweka pamba,wakapanda miba njiani hivo inawachoma.Si makamba senior Wala junia wote wamebatizwa kwa moto