Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Mbwa akikuzoa sana atakupiga busu LA mdomo,badala ya kuombwa msamaha wa kashfa walizoporomoshewa na mawasiliano kudukuliwa kinyume cha sheria eti wao ndiyo wanaomba msamaha.Huku kuweweseka kiini chake ni ubinafsi na unafiki wa hali ya huu.
Nakubaliana nawe lakini tayari imeshakuwa habari kwa maana ya kwamba tayari kuna kitu kinaendelea chini kwa chini
Jr[emoji769]
Nyie vipi??mbona mna mipasho kama mko kwenye vikoba vya wamama???Hana uwezo huo, kazi yake ni kaparamia. Ila siku atakapoparamiwa ndo atakapojua uchungu wa maganda ya miwa.