Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Lol..kunawatu walikuwa makubuhu wakupiga wenzao exile.mwanangu umekubusha mbali sana mie wakati niko first nilipigwa EXILE na fourth fulani acha tu tehe tehe .. hasa wiki za kwanza exile aziepukiki
tehe tehe hii tumeipiga sana tu tena tuliipiga mwaka wa kwanza wakati MLIMANI CITY Inafunguliwa.. MIKATE SHOP RITE 350/= nasiunajua mikate ya shoprite ilivyo mikavu mzee unanunua yakutosha siku hata tatu..1.Kwenda Ubalozini..( kuzuru kwa ndugu na jamaa ili kubana matumizi au kuomba mshiko)
2. Kukomnika ( kushindia mkate na chai au maji wakati wa ukata..duh hii ilikuwa balaa)
Kwa Ardhi, Kuna WASAKA NYOKA - 'Land surveyors'WAKATA NYANGA wazee wa misuli mirefu kule COET . S BLOCK A9 A4...
kariakoo -maduka chini ya HALL VI mlimani
Shimo la tatu-HALL THREE
MINAZI-kusimama na msichana night baada ya prepo
sure mkuu asante kwa nirekebisha ..Hall 5 co Hall6
kitu ya ONE ZERO ONE inanihusu saaana