Misamiati itumikayo vyuoni

Misamiati itumikayo vyuoni

Wazee kontena la mama salma ndo inamanisha nin? Me ndo natak kuanza form1
nisikiavyo ni wasichana wanasomesha na mama salma kikwete ila ni waathirika(HIV+) na kwa mujubu wa taarifa zisizo rasmi wamesambazwa vyuo vingi nchi nadhani wadau wenye kufahamu vyema watakupa maujanja zaidi ..
 
hiyo misamiat had raha
raha kwelikweli kila mwaka chuo first huwa wanapewa jina kutokana na matukio mwaka wetu
tulikuwa tunaitwa MAPANKI../ enzi kioindi hicho imezuka ile issue ya sangara na minofu...i remember those day
 
raha kwelikweli kila mwaka chuo first huwa wanapewa jina kutokana na matukio mwaka wetu
tulikuwa tunaitwa MAPANKI../ enzi kioindi hicho imezuka ile issue ya sangara na minofu...i remember those day

Nadhani sisi tutakua Sensa, Tume ya katiba, mabwepande ila napendelea tuitwe M4C
 
SP-shato pori,ni mwendo wa mguu toka udsm hadi mabibo hostel hapo boom limekata

nimepiga sana SP mtu wangu usipime .. ila maisha yanakwenda na tunadunda mtaani .. rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
open book test- hizi test ambazo unaingia na madesa yako mwenyewe ila ni noma mara nyingi zipo coet..
 
Ahaa kuna neno KITUFE KIMELIA au CARD IMELIA yaaaani test tayari imetangazwa.
 
Kwa fresher vyuoni hii nayo inawahusu ... Wadau ongezeeni maneno first wasijeshangashangaaa
 
WDM [Water Download Manager] mashine ya kutoa maji ya kunywa...unatumbukiza mia mbili unapata maji lita moja...ni mitaa ya yombo UDSM...
 
Code101-unakula asubuhi na ucku.
 
Back
Top Bottom