Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
- Thread starter
-
- #41
nisikiavyo ni wasichana wanasomesha na mama salma kikwete ila ni waathirika(HIV+) na kwa mujubu wa taarifa zisizo rasmi wamesambazwa vyuo vingi nchi nadhani wadau wenye kufahamu vyema watakupa maujanja zaidi ..Wazee kontena la mama salma ndo inamanisha nin? Me ndo natak kuanza form1
1.Kwenda Ubalozini..( kuzuru kwa ndugu na jamaa ili kubana matumizi au kuomba mshiko)
2. Kukomnika ( kushindia mkate na chai au maji wakati wa ukata..duh hii ilikuwa balaa)
lol..kunawatu walikuwa makubuhu wakupiga wenzao exile.
raha kwelikweli kila mwaka chuo first huwa wanapewa jina kutokana na matukio mwaka wetuhiyo misamiat had raha
raha kwelikweli kila mwaka chuo first huwa wanapewa jina kutokana na matukio mwaka wetu
tulikuwa tunaitwa MAPANKI../ enzi kioindi hicho imezuka ile issue ya sangara na minofu...i remember those day
hahaha daah nadhani mtaitwa vua gamba vaa gwanda...Nadhani sisi tutakua Sensa, Tume ya katiba, mabwepande ila napendelea tuitwe M4C
SP-shato pori,ni mwendo wa mguu toka udsm hadi mabibo hostel hapo boom limekata
kitu ya ONE ZERO ONE inanihusu saaana