King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kukata kiu.......................
Kuuza vocha...................
Koz work(makalio)
exile- kuwaweka wezako nje ya room alafu wewe unapiga mzigo ndani na demu
dada zake ritz one- mabinti wenye ukimwi au tetesi but now tunawaita kina MWANAHASHA pale ndani ya UDOM
Ngenya, mdosho, kipururu... Dah kweli chuo si mchezo
Piga lampard au pass ndefu,au code 001=shinda bila kula mchana
Mie nilikua napiga sana code 101 hyo 001 siku moja moja
kuna cku nilikua nimefulia,nkapga 001,yan nilihc kufa mkuu!
Hyo code nomaaa ukipiga inabidi ushinde room tu.
Hii kiboko, nakumbuka nilikuwa na jagi la umeme siku nikikosa fifty ya kiroba napiga downloadKudownload maji-Kuchemsha maji.
Mara ya kwanza niliachwa kwenye mataa niliposikia mtu anakunywa maji ya kudownload.
1.'Boom'(fedha za kujikimu zitolewazo na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu kwa wanachuo/wanafunzi)
2. 'Kuuza chai'(Kupiga stori hasa za kuchekesha/au sizizo za kweli)
3.'Nyanga'(Supplementary exams)
4.Kutiwa nyavuni/kukamatwa(kufeli somo hivyo kutakiwa kulirudia)
5.Nondo(vitu visivyoruhusiwa mtihanini lakini vinavyoingizwa kimagendo)
6.Exile(kumpisha mwanachumba mwenzako 'atumie' chumba pekeyake kwa muda fulani
7.'Kupiga Dash'(kushinda bila kula kwasababu ya kuishiwa fedha za kujikimu)
8.Kipanga(mwanafunzi anayejiweza darasani kwa kuelewa haraka au kutosahau haraka)
9.Kilaza(mwanafunzi ambaye uelewa wake ni wa mashaka/haelewi mapema na hachelewi kusahau)
10.'Ungwini'(Masomo ambayo hayaambatani na mahesabu)
11.'Kudesa'(kuiga kwa mwanafunzi mwingine au kuandika kitu kama kilivyokutwa mahali fulani au kwa mtu fulani)
12.'Desa'/'Madesa'(Kitabu/Vitabu visivyo rasmi
Wana JF tuendelee...
Koz work(makalio)
Heheheheeee...hii wabeba mabox haituhusu!