Misamiati ya Kiswahili

Misamiati ya Kiswahili

niah

R I P
Joined
Sep 26, 2015
Posts
7,019
Reaction score
9,295
1. Hila ya kikwapa, kunuka pasipo kidonda.
2. Elfu huanza na moja.
3. Achanikaye kwa mpini, hafi njaa.
4. Wakati wa hatari, mguu niponye.
5. Aendaye kwa mganga, hakosi jambo.
6. Bahiri hali mali.
7. Achekaye kilema, hata kwao kipo.
8. Cheka uchafu, usicheke kilema.
9. Jawabu la kesho, huandikwa leo.
10. Haja huzaa hoja.
11. Sheria ni msumeno, hukata mbele na nyuma.
12. Pango ulimojistiri, usilidharau.
13. Fua chuma kingali moto,
14. Hakuna kiumbe asiye na akili.
 
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
 
-Sumu haionjwi
-Cha mtu mavi
-Nyuki hakumbatiwi
-Moto haulambwi
-Usiku mwaka
-Kwenye fungu ndiyo kwenye nyongeza
 
1. Hila ya kikwapa, kunuka pasipo kidonda.
2. Elfu huanza na moja.
3. Achanikaye kwa mpini, hafi njaa.
4. Wakati wa hatari, mguu niponye.
5. Aendaye kwa mganga, hakosi jambo.
6. Bahiri hali mali.
7. Achekaye kilema, hata kwao kipo.Hu
8. Cheka uchafu, usicheke kilema.
9. Jawabu la kesho, huandikwa leo.
10. Haja huzaa hoja.
11. Sheria ni msumeno, hukata mbele na nyuma.
12. Pango ulimojistiri, usilidharau.
13. Fua chuma kingali moto,
14. Hakuna kiumbe asiye na akili.
Hujambo? Vipi mzigo unasonga?
 
Mgaa gaa na upwa " hali wali bila mchuzi

Mchuma janga " hula na wa-kwao

Nazi mbovu " harabu ya nzima

Heri ya tisha kenda shika " kuliko kumi nenda rudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom