Wanafanana fanana... Wote ni watanashati,na wote ni wanandoa, na nadhani wote kwenye ndoa zao,kumekuwa na kunyemelewa na mwovu ibilisi...
Nilitembelea tuu humu chit chat kuelimisha kuhusu alipo Misanya. Nawaombeni msianze kuwaulizia wengine.Tupunguze kudiscuss watu, karibuni kule jukwaa la siasa tukate issues.
Mimi narejea kule jukwa la siasa hivyo nawaombeni msiniulize chochote kuhusu Misanya au huyo rafiki yake, sitajibu kwa vile ndio nimeshaondoka chit chat.
R.Mengi jamaa kauzibe sana......Alipata nafasi ya kusoma UDSM kazini kwake wakamnyima ruhusa chuo kilipofunguliwa akaomba likizo na kuripoti chuo. Huku nyuma wakanfukuza kazi!.
Pale UD jamaa kichwa mbaya, akafumua 1st class hivyo kuajiriwa na chuo direct kamabTutorial Asst huku akiwa na full sponsorship ya masters akamaliza na kuwa lecture hapo hapo akaunganisha na Ph. D anamaliza this June, Mwezi November anavishwa Ph.D yake na kubadili jina kwa kuitwa Dr. Misanya Dismass Bingi ( B.A. ...Hons. UDSM, M.A .... UDSM, Ph.D ...UDSM) Senior Lecture then Assc Prof na baada ya miaka michache atakuwa ni
Prof. Misanya Dismass Bingi!.
Kaza buti mwanangu!, "Where there is a will, there is a way" sky is the limit!.
inaelekea unawajua vizuri sana hao watu
Alipata nafasi ya kusoma UDSM kazini kwake wakamnyima ruhusa chuo kilipofunguliwa akaomba likizo na kuripoti chuo. Huku nyuma wakanfukuza kazi!.
Pale UD jamaa kichwa mbaya, akafumua 1st class hivyo kuajiriwa na chuo direct kamabTutorial Asst huku akiwa na full sponsorship ya masters akamaliza na kuwa lecture hapo hapo akaunganisha na Ph. D anamaliza this June, Mwezi November anavishwa Ph.D yake na kubadili jina kwa kuitwa Dr. Misanya Dismass Bingi ( B.A. ...Hons. UDSM, M.A .... UDSM, Ph.D ...UDSM) Senior Lecture then Assc Prof na baada ya miaka michache atakuwa ni
Prof. Misanya Dismass Bingi!.
Ameshafarikihabari zenu wana JF..naombeni mnijuze huyu jamaa aliyejipatiaga umaarufu enzi zile akiwa Radio One kupitia kipindi cha Chemsha Bongo, yuko wapi sasa..maana ni muda mrefu sana sijamsikia.
😀😀jamaa ni mshikaji wangu, enzi akiwa media, tulipenda kunywa, kujirusha na kufuatilia kwa kutafuta mambo flani ya goodtime. Mwenzetu katuacha mbali hata yale mambo fulani hatafuti tena!, sasa yeye sio mtu wa kutafuta tena bali sasa yeye ndio mtu wa kutafutwa!. Mpaka anawakimbia!.
Yuko juu mbaya!.