Misanya Dismas Bingi.

Misanya Dismas Bingi.

Nilitembelea tuu humu chit chat kuelimisha kuhusu alipo Misanya. Nawaombeni msianze kuwaulizia wengine.Tupunguze kudiscuss watu, karibuni kule jukwaa la siasa tukate issues.

Mimi narejea kule jukwa la siasa hivyo nawaombeni msiniulize chochote kuhusu Misanya au huyo rafiki yake, sitajibu kwa vile ndio nimeshaondoka chit chat.
 
mbona unatukimbia tena mkuu..kaa bana tujuzane
 
Alipata nafasi ya kusoma UDSM kazini kwake wakamnyima ruhusa chuo kilipofunguliwa akaomba likizo na kuripoti chuo. Huku nyuma wakanfukuza kazi!.

Pale UD jamaa kichwa mbaya, akafumua 1st class hivyo kuajiriwa na chuo direct kamabTutorial Asst huku akiwa na full sponsorship ya masters akamaliza na kuwa lecture hapo hapo akaunganisha na Ph. D anamaliza this June, Mwezi November anavishwa Ph.D yake na kubadili jina kwa kuitwa Dr. Misanya Dismass Bingi ( B.A. ...Hons. UDSM, M.A .... UDSM, Ph.D ...UDSM) Senior Lecture then Assc Prof na baada ya miaka michache atakuwa ni
Prof. Misanya Dismass Bingi!.
R.Mengi jamaa kauzibe sana......
 
inaelekea unawajua vizuri sana hao watu

Si sana...

Ila nina intelijensia kali...

Mke wa Misanya ni dada wa Kichagga... Anyway.. Ndiyo maana Pasco kaamua kuondoka... Ningeongea mengi ya nyuma ya pazia lakini nadhani haina haja...na nasema hivi baada ya kuusoma ushauri wa Pasco..
 
Alipata nafasi ya kusoma UDSM kazini kwake wakamnyima ruhusa chuo kilipofunguliwa akaomba likizo na kuripoti chuo. Huku nyuma wakanfukuza kazi!.

Pale UD jamaa kichwa mbaya, akafumua 1st class hivyo kuajiriwa na chuo direct kamabTutorial Asst huku akiwa na full sponsorship ya masters akamaliza na kuwa lecture hapo hapo akaunganisha na Ph. D anamaliza this June, Mwezi November anavishwa Ph.D yake na kubadili jina kwa kuitwa Dr. Misanya Dismass Bingi ( B.A. ...Hons. UDSM, M.A .... UDSM, Ph.D ...UDSM) Senior Lecture then Assc Prof na baada ya miaka michache atakuwa ni
Prof. Misanya Dismass Bingi!.

Dah........swafiiiiiiiiiiiii......tena saaaanaaaaaa!!!
 
jamaa ni mshikaji wangu, enzi akiwa media, tulipenda kunywa, kujirusha na kufuatilia kwa kutafuta mambo flani ya goodtime. Mwenzetu katuacha mbali hata yale mambo fulani hatafuti tena!, sasa yeye sio mtu wa kutafuta tena bali sasa yeye ndio mtu wa kutafutwa!. Mpaka anawakimbia!.

Yuko juu mbaya!.
😀😀
 
Back
Top Bottom