Miscarriage

Miscarriage

arrested

Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
35
Reaction score
8
Hodii wapendwa habari ! Tafadhari sana naomba msaada wenu!
kuna ndugu yangu yeye kaoa ana mke lakini huyo mke wake kila anapobeba mimba inatoka baada ya miezi 2 hivi sasa 1month ago alishika tena ujauzito lakini baada ya wiki mbili ukatoka ,

je tatizo ni nini wakuu anaomba ushauri wenu na kipindi hiki mke damu imeshindwa kabisa kukata inatoka kidogokidogo angalizo ! Mke ana B/G AB positive na jamaa A positive
Nawasilisha!
 
Amuone gynaecologist atamsaidia. Wengine hupewa bed rest mpaka baada ya wiki 15 inakuwa imepanda jus
 
Miscarriage is known by other words abortion of fetus before 20 weeks which means 6month mostly miscarriage occured 80% below 3month or 12 weeks
Symptoms of miscarriage
....per viginal bleeding (heavy bleeding clotes like)

....abdominal cramps and pain below the umbulicus

.......Backache

....fatigue accompaned with dizzness

Couses of miscarriage
..infenctions

...disease such us thyirode,diabetes and malaria

....Hormanal disorder

.....Uterine abnormalities

Treatment and investigation

Attend to clinics and lab check for ..
1.VDRL symphyillis
2.MRDT malaria
3.urine for sed to roll out any infenction

Treatment
Dilatation&Curretage
Give antibiotics as profilaxis

Prevention

..attend RCh for clinics
..take SP as malaria profilaxis
...take any caution once u see dangerouse sign such us
..headache

..dizzness

..pv bleeding

..n.k
 
Mimba ya kwanza alipima akaambiwa ana malaria akapewa SP bt after two days ikatoka mara hii alihisi maumivu ya tumbo
 
Mimba ikitunga inakuwa chini baadae hupanda juu na hushuka taratibu katika last trimester. First timester ni risk kubwa kwa miscarriages hivyo daktari hutoa bed rest
Nimekupata mkuu
 
Mimba ya kwanza alipima akaambiwa ana malaria akapewa SP bt after two days ikatoka mara hii alihisi maumivu ya tumbo
Ukimpima mwanamke mjamzito ukamkuta na maleria una mwanzishia tiba ya malaria kutokana na umri wa mimba kama below miezi mitatu unampa qunine tabs ama injenction kama above 6 month ndo unampa mseto na artusunate injenction
NB sio anaumwa malaria unampa SP hiyo ni prophylasix inazuia malaria ama kumkinga sasa ww mtu anaumwa unampa kinga badala ya tiba kwann isitoke sasa too late already
 
Mimba kuharibika ni tukio linalopatikana mara nyingi katika wanawake na mamalia wa kike kutokana na shida mbalimbali katika ukuaji wa mimba tumboni mwa mama.

Ni tukio tofauti na utoaji mimba ambalo linasababishwa na binadamu kwa makusudi.

Matukio yote mawili kwa kawaida yanaleta matatizo mbalimbali kwa mama.

Kuharibika kwa kijusi au kiinitete pengine kunatokana na mfadhaiko wa kiajali au sababu za kimaumbile. Mimba nyingi huharibika kutokana na kutonakiliwa kisahihi kwa kromosomu; pia huweza kuharibika kutokana na mazingira.

Mimba inayotamatika kabla ya wiki ya 37 katika kipindi cha ujauzito husababisha uzaaji wa mtoto hai na hujulikana kama kuzaliwa mapema.

Kijusi akifa akiwa ndani ya chupa ya uzazibaada ya wiki 22, au wakati wa kujifungua, kwa kawaida hujulikana kama mzaliwa-mfuau siriziki. Kuzaa mapema na uzazimfu kwa jumla hauchukuliwi kama kuharibika mimba ingawa matumizi ya maneno haya wakati mwingine yakaingiliana.

Kati ya 10% na 50% ya mimba hutamatishwa kwa njia zinazoweza kubainishwa kimatibabu, kutegemea umri na afya ya mwanamke mjamzito.

Mimba nyingi huharibika katika hatua za mapema sana za ujauzito, kiasi kwamba mwanamke hafahamu kwamba alikuwa mjamzito. Utafiti mmoja uliofanywa kupima homoni za kutoa yai na ujauzito uligundua kuwa 61.9% ya uhamili ulipotezwa kabla ya wiki 12, na 91.7% ya kuhabirika huko kulitokea bila ya dalili, na bila ya fahamu ya mwanamke aliyekuwa mjamzito.

Hatari ya kutoka mimba ghafla hupungua kwa kiasi kikubwa baada ya wiki 10 kutoka kipindi cha mwisho cha hedhi.

Kisababishi kikuu cha mimba kuharibika katika miezi mitatu ya kwanza huwa matatizo ya kromosomu ya kiinitete / kijusi, hali ambayo husababisha angalau 50% ya kutoka kwa mimba mapema.

Sababu nyingine ni pamoja na magonjwa ya mishipa (kama lupus), kisukari, matatizo mengine ya homoni, maambukizi, na matatizo ya chupa ya uzazi.

Umri mkubwa na historia ya mimba zilizotangulia kuharibika ni sababu mbili kuu zinazohusishwa kwa pakubwa na mimba kuharibika ghafla.

Hiyo inaweza pia kusababishwa na kiwewekinachotokana na ajali.
Chief utatuzi wake ni nn hasa
 
Ukimpima mwanamke mjamzito ukamkuta na maleria una mwanzishia tiba ya malaria kutokana na umri wa mimba kama below miezi mitatu unampa qunine tabs ama injenction kama above 6 month ndo unampa mseto na artusunate injenction
NB sio anaumwa malaria unampa SP hiyo ni prophylasix inazuia malaria ama kumkinga sasa ww mtu anaumwa unampa kinga badala ya tiba kwann isitoke sasa too late already
Well said
 
Back
Top Bottom