Misemo hii huwa inanichanganya

Misemo hii huwa inanichanganya

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
Kuna misemo huwa naisikia sana.
wa kwanza ni kwa baadhi ya wanaume ambao wamewatenda wanawake na baadhi ya wanawake wanapokua kwenye mijada wakisimulia waliyotendwa na wanaume. na mwisho wa siku huwa wanajifariji au kujipa moyo kwa kuambia achana na hao wanaume ndivyo walivyo au wanaume wote baba yao ni mmoja.
Pili kuna huu msemo kwamba wanawake walimu wao ni vipfu hapa huwa sijajua huwa inakusudiwa nini haswa
naomba mwenye ujuzi juu ya misemo kuwa ina maana gani haswa na je kama hayo yanayokusudiwa kwenye hii misemo ni ya ukwieli au nimesemo ya kunogesha maongezi?

Jadili
 
mi naona zote ni conclusion za wanadebate wavivu kudadavua jitihada nyuma ya matukio (struggles behind events/ causes of events)...sasa ili kuescape kuumiza kichwa zaidi inabidi kuwe na some form of conclusion
 
Back
Top Bottom