Jamaa mmoja alialikwa ktk harusi. Akafika mlango Wa 1 umeandikwa kulia ni ndugu Wa maharusi, kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy alialikwa. Akakuta mlango wa2 umeandikwa kulia wenye zawadi kushoto wasionazawadi yy hakuwa na zawadi. Mlango Wa 3 umeandikwa kulia wanawake kushoto waume akapita kushoto akajikuta ametokea mtaani . Tujifunze kutoa wandugu
hatupendi ujinga sisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "Mungu anakuona "Mademu wawil walikua wamekaa disco m1 mbovu mwingine mkali nikawafuata
*MIMI*:mambo vip dada
*DEM MBOVU*:kwa nyodo poaa
*MIMI*:samahani unajua ku dance
*DEM MBOVU*:ndioo huku akitabasamu
*MiMi*:bhas nlikua naomba uka dance nataka niongee na rafik ako
*nataka ujinga kwan mimi*
Hii itakuwa mpya [HASHTAG]#sijaribiwagi[/HASHTAG] mimi#[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo na shemeji yangu mzungu...ananiletea vtu ambavyo sivielewi...
Shemeji mzungu: Your frnd is not around, can we hang out for sometime?
Mimi: *IT DOESNT HAVE INLAWSHIP, WE EAT*
*Sijaribiwagi mmi!*