Misemo ilivyo-trend.

Misemo ilivyo-trend.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Ilianza

Robert Mugabe

IkaJa

.....Mwendokasi

halafu

Kupatwa kwa.....

ikaingia

Mungu anakuona

Na sasa

Sitaki Ujinga mimi

Sasa mie nasema

ACHENI UPUMBAVU
 
Jamaa mmoja alialikwa ktk harusi. Akafika mlango Wa 1 umeandikwa kulia ni ndugu Wa maharusi, kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy alialikwa. Akakuta mlango wa2 umeandikwa kulia wenye zawadi kushoto wasionazawadi yy hakuwa na zawadi. Mlango Wa 3 umeandikwa kulia wanawake kushoto waume akapita kushoto akajikuta ametokea mtaani . Tujifunze kutoa wandugu

hatupendi ujinga sisi
 
*Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka, sasa bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta bila mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake alikua Kaandika "NIACHENI KAMA NILIVYO, HII NDIO STYLE YANGU"*

*Mpaka sasa nimemwacha bado yuko hapo*

*Sipendagi Ujinga mimi*
 
Jamaa mmoja alialikwa ktk harusi. Akafika mlango Wa 1 umeandikwa kulia ni ndugu Wa maharusi, kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy alialikwa. Akakuta mlango wa2 umeandikwa kulia wenye zawadi kushoto wasionazawadi yy hakuwa na zawadi. Mlango Wa 3 umeandikwa kulia wanawake kushoto waume akapita kushoto akajikuta ametokea mtaani . Tujifunze kutoa wandugu

hatupendi ujinga sisi
 
Mademu wawil walikua wamekaa disco m1 mbovu mwingine mkali nikawafuata
*MIMI*:mambo vip dada
*DEM MBOVU*:kwa nyodo poaa
*MIMI*:samahani unajua ku dance
*DEM MBOVU*:ndioo huku akitabasamu
*MiMi*:bhas nlikua naomba uka dance nataka niongee na rafik ako

*nataka ujinga kwan mimi*
 
*HUYU* *NDO* *MWANAMKE*

Akikuta *PESA* wakati anafua atapiga kimya kimya

sasa ngoja akute umeacha *CONDOM* ndo utajua kama umeoa *KIPAZA* *SAUTI*
Ndio maana mimi nafunganga condom na hela kwa pamoja... akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu..
Huwa sipendagi ujinga Mimi
 
Mademu wawil walikua wamekaa disco m1 mbovu mwingine mkali nikawafuata
*MIMI*:mambo vip dada
*DEM MBOVU*:kwa nyodo poaa
*MIMI*:samahani unajua ku dance
*DEM MBOVU*:ndioo huku akitabasamu
*MiMi*:bhas nlikua naomba uka dance nataka niongee na rafik ako

*nataka ujinga kwan mimi*
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "Mungu anakuona "
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] social network hazijawahi kuwa nzuri kama kipindi hiki
 
Nipo na shemeji yangu mzungu...ananiletea vtu ambavyo sivielewi...
Shemeji mzungu: Your frnd is not around, can we hang out for sometime?
Mimi: *IT DOESNT HAVE INLAWSHIP, WE EAT*

*Sijaribiwagi mmi!*
Hii itakuwa mpya [HASHTAG]#sijaribiwagi[/HASHTAG] mimi#[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jana jirani YANGU kupata mshahara tu, kaleta Malaya ndani, usiku wakanipigia kelele wee.

Leo nimenunua sabufa na collection ya X videos, nimemuwashia usiku huu kwa sauti ya juu kabisa mie nipo zangu lodge na mchumba wangu, kiustaarabu

[HASHTAG]#sijaribiwagi[/HASHTAG] mimi#
 
Unampa demu namba then anampa mpenzi wake akupigie.
Jamaa anakupigia huku anafoka sipendi ujinga mimi acha kumtongoza dem wangu.
Na mie namjibu samahani mie ni mhudumu wagest nilitaka nimjulishe kasahau kitambaa chake cha mkononi chumbani
SIPENDI UJINGA MIMI
 
Back
Top Bottom