I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Bado ujasemaMuda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka.
Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote?
~"Mama anaupiga mwingi"🥲
Hahah mpaka usemeBado ujasema
zingatia maokotoMuda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka.
Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote?
~ "Mama anaupiga mwingi"🥲
Nakubusu nimekumiss,njoo huku uone mtu ana kamnyamaKula kwa urefu wa kamba yako
Tabuu leleeHii imeenda
Umepigaje hapo?
Hapa ni wap?
Utajua hujui