Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

Umepigaje hapo?
Huwa sipendi misimu ila huu naupenda. Na kila nikiusikia lazima nicheke.
 
Kaa kwa kutulia..
Chap kwa haraka
 
Aisee siku zinakimbia balaa, nakumbuka ni kama juzi juzi tu namanisha Disemba kama hii iliyopita nilikutana na bandiko kama hili. Ni kama kufumba na kufumbua nakutana na bandiko lingine aisee, siku zinakatika si mchezo.
 
We Misso misondo umepigaje hapo...
We zombie haujui...
Bado hamjasema...
 
Back
Top Bottom