MISEMO ILOTISHA MWAKA 2017 KATIKA MITANDAO YA KIJAMII .

MISEMO ILOTISHA MWAKA 2017 KATIKA MITANDAO YA KIJAMII .

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Japo misemo hii ilikuwa hatari kusikika katika masikio ya watu lakini pia baadhi yao waliumia kuisikia na wengine hawakutaka hata misemo hii itamkwe.
1)xxxxxxxx =msemo huu ulianzia ktk nyumba fulani ya kiroho na mitandaoni ilifanywa mchezo au njia ya watu kukosoa japo ilikuja kuzimika ghafla

2)xxxxx xxxxx =huu msemo ulisababisha hata mtu kupelekwa polisi na alieanzisha mseo huu tuliona alipo sasa.

3)VY*M* VIM3K*ZA=huu nao dah,mgumu kuueleza ila ulikuwa ukieleza hali halisi ya sasa.

4)ITAPENDEZA ZAIDI=msemo ulopata maarufu baada ya dk L Shika kwenda ktk mnada wa nyumba za Lugumi na kuyakubali masharti ya mnada hali ya kuwa hana pesa kwa wakati huo
huu msemo ulimpa sana kiki
 
Back
Top Bottom