Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Duh kwa uchumi huu si nitakuwa nimepata hasara kubwa.Ongera mkuu naomba unipe moja ya ziada nikipewa Ban basi nakimbilia huko
WAKANDAWeka msemo unaotrend JF kwa sasa ambao huko Duniani kwingine haupo.
Mfano.
mkuu.
papuchi
Kishudu .
Bila kusahau wale wa Forex Msemo wa ONTARIO umekuwa maarufu sana humu JF kipindi hiki.
Hiyo misemo ni maarufu sana Jf kuliko sehemu yeyote.
...!
BrokersKuunguza Account
Buku 7 F.CWeka msemo unaotrend JF kwa sasa ambao huko Duniani kwingine haupo.
Mfano.
mkuu.
papuchi
Kishudu .
Bila kusahau wale wa Forex Msemo wa ONTARIO umekuwa maarufu sana humu JF kipindi hiki.
Hiyo misemo ni maarufu sana Jf kuliko sehemu yeyote.
...!
mbalizi1"Mmgh"
Kuna mwamba hua anaguna ivo