Misemo inayotrend JF kwa sasa

Misemo inayotrend JF kwa sasa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Weka msemo unaotrend JF kwa sasa ambao huko Duniani kwingine haupo.

Mfano.
mkuu.
papuchi
Kishudu .

Bila kusahau wale wa Forex Msemo wa ONTARIO umekuwa maarufu sana humu JF kipindi hiki.

Hiyo misemo ni maarufu sana Jf kuliko sehemu yeyote.

...!
 
Ontario nao umekuwa msemo una trend sana siku hizi JF
 
Back
Top Bottom