Misemo inayotrend JF kwa sasa

Misemo inayotrend JF kwa sasa

Weka msemo unaotrend JF kwa sasa ambao huko Duniani kwingine haupo.

Mfano.
mkuu.
papuchi
Kishudu .

Bila kusahau wale wa Forex Msemo wa ONTARIO umekuwa maarufu sana humu JF kipindi hiki.

Hiyo misemo ni maarufu sana Jf kuliko sehemu yeyote.

...!
WAKANDA
 
Nawaaangalia tu humu ndani nasema hiiiiiiiiiiiiiiiii!!!, nitalala nao mbeleee.
 
Weka msemo unaotrend JF kwa sasa ambao huko Duniani kwingine haupo.

Mfano.
mkuu.
papuchi
Kishudu .

Bila kusahau wale wa Forex Msemo wa ONTARIO umekuwa maarufu sana humu JF kipindi hiki.

Hiyo misemo ni maarufu sana Jf kuliko sehemu yeyote.

...!
Buku 7 F.C
 
Nawahi seat, ngoja wahusika waje na nachukua popcorn zangu nione movie linaendaje
 
Back
Top Bottom