...7: Nao viongozi wa chama kile walipokwisha kusemezana akatokea mmoja kati yao ambae ni mwenyekiti akasema, "Mtu huyu anatishia ustawi wa chama, basi na tumwue ili ufalme uwe wangu"
8: Watu wale wakastaajabia maneno ya mwenyekiti wa chama kile, ndipo mjumbe mmoja akauliza, "Litawezekanaje jambo hili"
9: Mwenyekiti akawaangalia wajumbe wale kwa zamu, kisha akasema, "Mtu huyu amekua na ugomvi na mfalme wa nchi hii, basi na tufanye upesi tumwue ili kesi apewe mfalme"
10:Nao wakisha kusikiliza maneno ya mwenyekiti, wakajaribu kumwua ila ikashindikana.
Mpango mkakati6:7-10