marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Hapa marope hakukamati labda watunge sheria mpya this is next levelKwahiyo ndo kusema ile sheria ya marope haiapulai hapa
hahahaha, nasoma misale ya waumini, hahahahahaahCHIKIRA MTABARI sijaona andiko lako au husomagi bible?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nae akaugeukia mkutano ule nakusema..."nimafanye nini mtu huyu??"...Nao wakajibu kwa pamoja kwa sauti kuu...."ATUMBULIIWEEEEE!!".
Darajani 6:3-4
Hilo andiko linaitwa CLOUDS YAMPONZA NAPE 1:8Jamani kuna andiko lipo kwenye kile kitabu cha "MAULID KITENGE" Lisemalo "BODYGUARD WA NAPE".naomba anayeukumbuka huo mstari aniwekee ili niutumie kumchapa nao mtu hapa ndani maana hakuna namna sasa.LOL!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndipo mfalme mtukufu wa makinikia akaviuliza vichwa vya treni, Nyie ni yatima au mna wazazi?
Atakuwa alisahau ni kitabu cha tff to segerea 12:4 - 6Hujasema inatoka kitabu gani
[emoji23] [emoji23] dahIKAWA USIKU IKAWA MCHANA SIKU YA PILI.