kachumbari
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 126
- 9
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
Huu msemo potofu sana!.....Kwanini usimuweke kipaumbele mwenza wako?
Heri msemo huu"Mume ni kichwa cha nyumba"
Huu msemo potofu sana!.....Kwanini usimuweke kipaumbele mwenza wako?
Heri msemo huu"Mume ni kichwa cha nyumba"
khaa
kwa mtindo huu tutafika kweli
daaahh bora hata ungesema
"kuna wanaume wengine hawafai kuwa kipaumbele.."
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
Unajitambua kuwa wewe ni kachumbari. Halafu unaonekana unamsumbua sana mumeo, yaani kuishi single ni bora × 100 kuliko kuishi na wewe. Mwanamke hatari sana wewe ptuuuuu.Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
Huu ni msemo wa kipagani!...Nimemaliza!Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
ukishtuka.... kumekucha, utakuta ushakula chumvi (umezeeka) hapo ndo utaanza badili mawazo. wakati huo wanaume watakukimbia kama machinga na askari wa jiji.