Misemo mingine bwana...!

Misemo mingine bwana...!

kachumbari

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
126
Reaction score
9
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
 
acha kudanganya wenzako wewe,
na ukiyaweka hayo mawazo kichwani mwako,
siku zote hata kwa mumeo waweza kuwa hivyo!!!!!!!!
 
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!

Huu msemo potofu sana!.....Kwanini usimuweke kipaumbele mwenza wako?

Heri msemo huu"Mume ni kichwa cha nyumba"
 
Khaa
kwa mtindo huu tutafika kweli
daaahh bora hata ungesema
"Kuna wanaume wengine hawafai kuwa kipaumbele.."
 
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!

At your age do you think this suit your being? If so do it on your own don't influence wenzio athari za matoke ya imani kama hizi ni makubwa kuliko maufisadi ya babu zetu CCM maana hapo huzaliwa mafataki, playboys, prostitutes na wakiingia mitaani .......utamalizia mwenyewe. Na kuiacha mioyo ya wengi katika upweke, ukatili na uadui chuki!. Tunapata wanaume wenye mavitukotuko kwasababu nyuma yao kuna mwanamke mpumbavu.
 
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!
Unajitambua kuwa wewe ni kachumbari. Halafu unaonekana unamsumbua sana mumeo, yaani kuishi single ni bora × 100 kuliko kuishi na wewe. Mwanamke hatari sana wewe ptuuuuu.
 
Usiruhusu kabisa mwanaume awe kipaumbele kwako. wakati kwake yeye wewe ni pozeo tuu!

pole mwaya.....wahenga walisema aisifuye mvua.....but umegeneralize sana. wewe yaelekea hata vitabu
vitakatifu husomi na hata baba yako una ukakasi naye
 
Hivi unajua kuna haja ya moderators kuangalia hizi post! huyu ni mwanamke au street woman. Nisamehe kama utafikiri nimekutukana. MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA, hata mwende Beijing, Washington, London, Tokyo au THE HEAGUE hiyo haki hamna. Someni kitabu cha mwanzo chote ndiyo utajua nini maana ya mwanaume.

Huyo GUBE GUBE lililoshindikana kwa mitume, usilete sumu na laana za kwenu humu ndani Kama ni msemo acha hao wapumbavu wasemee huko siyo wewe kutuletea hapa. Men are your fathers chunga sana mdomo wako unaweza kukilaani kizazi chako chote kwa ulimi wako usiokuwa na break.

Nakuombea ufunguke macho ujue nini maana ya mwanaume, achilia mbali hao uliokutana nao.
 
ukishtuka.... kumekucha, utakuta ushakula chumvi (umezeeka) hapo ndo utaanza badili mawazo. wakati huo wanaume watakukimbia kama machinga na askari wa jiji.
 
ukishtuka.... kumekucha, utakuta ushakula chumvi (umezeeka) hapo ndo utaanza badili mawazo. wakati huo wanaume watakukimbia kama machinga na askari wa jiji.

somo tosha kabisa hili!!!!!!!
 
Back
Top Bottom