Hivi unajua kuna haja ya moderators kuangalia hizi post! huyu ni mwanamke au street woman. Nisamehe kama utafikiri nimekutukana. MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA, hata mwende Beijing, Washington, London, Tokyo au THE HEAGUE hiyo haki hamna. Someni kitabu cha mwanzo chote ndiyo utajua nini maana ya mwanaume.
Huyo GUBE GUBE lililoshindikana kwa mitume, usilete sumu na laana za kwenu humu ndani Kama ni msemo acha hao wapumbavu wasemee huko siyo wewe kutuletea hapa. Men are your fathers chunga sana mdomo wako unaweza kukilaani kizazi chako chote kwa ulimi wako usiokuwa na break.
Nakuombea ufunguke macho ujue nini maana ya mwanaume, achilia mbali hao uliokutana nao.