niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Huwa nacheka sana misemo na majibu ya makondakta:
- Shemeji twende ya kuwahi kaka kesha rudi.
- Konda kuna siti? "Siti zipo ila wenzio wamekalia"
- Mama mkwe kamata bomba
- Oyaaa, wakusoma tulieni sio skuli basi hii
- Hapo nyuma fungua nauli
- Konda una mia nikupe mia tano? "Sina we unayo"
*Tupia mengine...
*Dada cheupe fungua zipu ya pochi yako-checheche (angongagonga coins)
Konda: Naomba nauli yanguUkimkuta dereva anapiga reverse huku konda anamuelekeza..
Utasikia..
LETE NYUMA HUKU UNAKATA
Ukimkuta dereva anapiga reverse huku teja anamuelekeza..
Utasikia..
NJOO, NJOO, MPAKA USIKIE PUUUH...
Nimecheka kwa nguvu.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji, panua mguu mzee aweke fimbo yake