Misemo na maneno ambayo ukiingia JF ni lazima ukutane nayo

Misemo na maneno ambayo ukiingia JF ni lazima ukutane nayo

Hodi wakuu......! Karibu......! Haya yapo zaidi jukwaa la utambulisho.
 
---- jukwaa la siasa
mkuu majukwaa yote
BAVICHA halina promo sana, analitumia RITZ.
masalia.
 
Ungeuliza neno litumikalo kwa fujo pale mjengoni Dom, ningesema neno "KWA KUA" hapa yako kibao.
 
'well said'!
'Umenikumbusha mbali' - utakuta neno hili ktk threads za watu wazima kuhusu mambo ya zamani.
 
NAPITA............ :car:
LOADING...........:car:
 
-Tiririka
-This message has been deleted
-Funguka
 
Back
Top Bottom