Misemo na Maneno ya zamani

Misemo na Maneno ya zamani

Matani ya kizamani = Nywele km mkutano wa inzi, tumbo ka pipa la m.a.v.i haahaaaaha
 
Wakuu kwa sisi "ma old school" hebu tukumbushane misemo ambayo ilikuwa maarufu sana kipindi tunakua/tunaishi enzi hizo.
Mi nitakukumbusha michache;

1.Kula jiwe - (uchune,kauka)
2.Nakitoa - (naondoka)
3.Nayeya- (naenda,naondoka)
4.Dole tupu halina ukucha- (mambo safi)
5.Ndu Kinaa- (hamna noma)
Na wewe ongezea unazozikumbuka
 
Kukata ngebe (vidomo domo au kukomesha )
Sangi, mande na mtungo
Kishtobe
Ndata, mwela, njagu, pongo mbangu
Mzula
 
Nenge - njaa
Pasi na - mtu msafi, smart
Mlupo - mwanamke ambaye hajatulia
Ndula - kiatu kikubwa, oversize



Ukimaindi natuma tena.
 
Ngembe/kisabengo=kiherehere
Mapene/mavumba/mpunyenye=hela nyingi
Kupigwa deki/ngwala/mtama=kuangushwa chini
 
Back
Top Bottom