Misemo na Maneno ya zamani

Misemo na Maneno ya zamani

Njagu- askari.
Ngozi- demu.
Mtonyo- fedha.
Mbongo- mwalimu mnoko sana.
 
Raba Mtoni.


Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
LEO TUKUMBUSHANE MISEMO YA KIZAMANI kwa mfano
Danga cheee,Dukinaaa,

Dole tupu halina ukucha

Imetoka hiyo ikirudi pancha
Mambo kwa soksi
Mambo shega
Danga chee
 
Back
Top Bottom