Misemo wa 'mimi ni shabiki wa Yanga/Simba lakini...

Misemo wa 'mimi ni shabiki wa Yanga/Simba lakini...

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Imekuwa ni mazoea/tabia kwa baadhi ya watu wanapotaka kujenga hoja ya kusifia/kupongeza/kutetea mojawapo ya hizi timu wanatanguliza huo msemo.

Ni kwanini eti?
 
Imekuwa ni mazoea/tabia kwa baadhi ya watu wanapotaka kujenga hoja ya kusifia/kupongeza/kutetea mojawapo ya hizi timu wanatanguliza huo msemo. Ni kwanini eti?
Ni woga na unafiki
 
Back
Top Bottom