Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,279
- 1,772
huyu jamaa ananifurahisha sana kwa misemo mi namkumbuka kwa hii CHIZI AKAMATWI KWA UZURURAJI, n KIKOMBE CHA KAHAWA HAKIWEKWI KISOSI.......... Kama unakumbuka misemo mingine akimaliza tupia tufurahi pamoja
huyu jamaa ananifurahisha
sana kwa misemo mi namkumbuka kwa hii CHIZI AKAMATWI KWA UZURURAJI, n
KIKOMBE CHA KAHAWA HAKIWEKWI KISOSI.......... Kama unakumbuka misemo
mingine akimaliza tupia tufurahi pamoja
Yanga ni kama pombe ya kwenye sherehe, kila mtu akijisikia anajinywea tu
Mkuu hapo hakukosea kwakua bubu mara nyingi pia ni kiziwi so ilimuelewane lazima utumie isha ambayo kizani hata kuona ila kipofu kukiwa na mwanga au giza kwake yote sawa. KWAHIYO INALETA SINCE.Nahisi hiyo red ingekuwa kipofu basi bonge ange-make sense, but anyway bonge anavituko sana
sikumbuki misemo yake mingine lakini huyu jamaa ni nooouma,sijui yeye anaitoa wapi hii misemo
Bubu hutegemea ishara kuongea.... Anahitaji mwanga ili ishara zake zitambulike....Nahisi hiyo red ingekuwa kipofu basi bonge ange-make sense, but anyway bonge anavituko sana