Mayala masuka
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 449
- 795
Njia ya chooni,haioti nyasi!
Simba kwake porini!
Nahisi hiyo red ingekuwa kipofu basi bonge ange-make sense, but anyway bonge anavituko sana
NaamHeshima ya shati mfuko.
maji ya dafu hayapikii chai..
Sent using Jamii Forums mobile app