.. Bishanga eeh umesikia singo mpya aliyotoa Erickb52 jana? Eti anataka kumiliki mautamu yote ya jf chitchat. Halafu ulikuwa umeishiwa nini? Next time unipigie bepari la Arusha nikupe mkopo wa masharti nafuu. WAKORA WAITU.

Ndugu yangu mimi ndo mwenyekiti wa kamati ya 'ufundi' kwenye kampeni ya Obama. Nilikuwa marekani na jopo langu la makalumanzila,romne atalijua jiji mwaka huu,sana sana ataambulia kura mbili yake na ya mkewe kudadadadeki chezeiya ujiji.