misemo ya kibongobongo.....

misemo ya kibongobongo.....

nilikuwa ujiji wabaya wangu kina erickb53 wamezidi kusongea anga zangu.

Karibu Bishanga tajiri wa msimu, umerudi lini!? safari hii umemtia ndimu nani kakubali kukukopesha!?? maana FINCA walisema hawataki kabisa kukuskia!
 
Last edited by a moderator:
TUTABANANA HAPA HAPA!!!! WAO WAWEZE WANA NINI NA SIE TUSHINDWE TUNA NINI?!!! KIZURI KULA NA WENZIO!!!, FUPA LILILOMSHINDA FISI CHIWAWA HAWEZI KULIWEZA LABDA GERMAN SHEPHARD!!!! MPO HAPO!!! nitarudi!!!
 
Back
Top Bottom