Hivi wewe ndiye uliyekuwa umekaa pale kibarazani hapa first n left au? Kama ni wewe kweli ulitoka bomba ila sijui ni castle ndiyo ilinifanya nikuone hivyo au, ila nikikuona asubuhi mda umetoka kulala nitakupa sifa zako vizuri
Erotica kama unajiamini wewe mzuri sana njoo kesho ukitoka shule utanikuta maasai camp au njoo Tanzanite Lodge au kama vipi njoo ilboru lodge nikuone vizuri kama unalipa nichukue jiko mazima ila tafuta leseni ya gari kabisa kwani kuna Benz V8 Biturbo inakusubiri pia kuna apartment njiro nakupangia kwa mda wote utaokaa arusha,kazi ni kwako tu!!
Unaukumba ule wimbo wa Jenipher Mugendi? : Pole, Pole sana.teh teh teh. inahuu? as if like yako itafanya nipungue uzuri.
hata usipo nisifia wewe wapo wa kunisifia. nikikosa najisifia kwa raha zangu.