Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!!

Misemo ya Mitaani unayopata ukiwa HOT and SEXY!!

Hivi wewe ndiye uliyekuwa umekaa pale kibarazani hapa first n left au? Kama ni wewe kweli ulitoka bomba ila sijui ni castle ndiyo ilinifanya nikuone hivyo au, ila nikikuona asubuhi mda umetoka kulala nitakupa sifa zako vizuri

no. Mie nilkuwa napita tu! Taratib kama ctaki.
 
Erotica kama unajiamini wewe mzuri sana njoo kesho ukitoka shule utanikuta maasai camp au njoo Tanzanite Lodge au kama vipi njoo ilboru lodge nikuone vizuri kama unalipa nichukue jiko mazima ila tafuta leseni ya gari kabisa kwani kuna Benz V8 Biturbo inakusubiri pia kuna apartment njiro nakupangia kwa mda wote utaokaa arusha,kazi ni kwako tu!!

kuna kigezo hujagusia cha mhim. Wanitisha.
 
Erotica kama unajiamini wewe mzuri sana njoo kesho ukitoka shule utanikuta maasai camp au njoo Tanzanite Lodge au kama vipi njoo ilboru lodge nikuone vizuri kama unalipa nichukue jiko mazima ila tafuta leseni ya gari kabisa kwani kuna Benz V8 Biturbo inakusubiri pia kuna apartment njiro nakupangia kwa mda wote utaokaa arusha,kazi ni kwako tu!!
 
we nawe umezidi kujisifia kila uchao
mara ya mwisho uliahidi utaselect wa kuzaa nae
leo unakuja na ingine ya kusifiwa
nahisi unaweza mzuri kama huyu
Ug_Trish.jpg

au huyu
funky-hairdo.jpg
 
we nawe umezidi kujisifia kila uchao
mara ya mwisho uliahidi utaselect wa kuzaa nae
leo unakuja na ingine ya kusifiwa
nahisi unaweza mzuri kama huyu
Ug_Trish.jpg

au huyu
funky-hairdo.jpg
Lokissa ukimsoma Erotica jipitie zako kimya ukianza kumtafakari wawezajikera mwenyewe bureee!
 
Last edited by a moderator:
kikweli kama niwewe niliokuona unalipaa..nilikuwa hapa car wash siku fichii tulichizikaa unashepu kama umechoongwa
 
teh teh teh. inahuu? as if like yako itafanya nipungue uzuri.

hata usipo nisifia wewe wapo wa kunisifia. nikikosa najisifia kwa raha zangu.
Unaukumba ule wimbo wa Jenipher Mugendi? : Pole, Pole sana.
 
Back
Top Bottom