Misemo ya Mpoki jamani!

Misemo ya Mpoki jamani!

Hata njiwa ana makinda lakini sio spika wa bunge, hauwezi kuingia facebook kwa kutumia nokia ya tochi, akili ni nywele lakini si za kwenye makwapa,
 
Mpoki amewekeza kweli kwenye misemo yake....

'Chafya ya mpishi haizimi moto!!!!!!'====nimemaliza nimeanza vizuri wikiend
 
Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.
Niliposoma post yako ya kwanza kwenye uzi huu...mara moja nikagundua kuna 'technical error' katika mtazamo wako juu ya vichekesho vya Tanzania (Orijinal Komedi na wenzake...). Ugunduzi wangu umethibitishwa na post yako niliyonukuu hapa.

Ebu fanyia kazi kuirekebisha hiyo 'technical error' yako vinginevyo...'tumor' itaanza kuota kichwani mwako muda si mrefu.
 
Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.

Uko sawa mkuu,wanachosha sana tu!wanachekesha zaidi watoto na usije shangaa hapa kwetu unaweza kuta mtu kakua mwili tu lakini brain imedumaa,hivyo si ajabu kukuta ni fan mkubwa wa ze comedy!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Sio Kigamboni tu karibu vivuko vingi, issue hapa ni kwamba mara nyingi upande wa pili wa kivuko huwa kuna usafiri ambao unategemea zaidi abiria wanaotoka kwenye pantoni hivyo anaejaza ndio anaondoka hivyo ukichelewa kupanda gari maana yake utabaki pale mpaka pantoni nyingine ije, ila kwa kigamboni nadhani wao ni kuwahi daladala tu na si vinginevyo

Design ya sehemu ya kutokea kwenye baadhi ya vivuko inasababisha abiria kutoka kwa kukimbia....!
 
Huwa ananifurahisha sana huyu jamaa.baadhi ya vimisemo ni .kunguru ni ndege lakini habebi abiria. .victoria ni ziwa lakini mtoto hanyonyi. Kumbuka ndege haina side mirrow. Ebu endelea na ww kama una unavifahamu .

kama weupe dili mbona ubuyu wapakwa rangi
 
hahahah...............tumbo linauma
kuna moja alisema ile tabia ya watu wa kigamboni wakishuka kutoka kwenye pantoni kukimbia baadaye watakuja kuwa wanariadha mahiri.................hafu hii ni kweli najiuliza sana kwanini uwa wanakimbia?

haaaaa haaaaaaaaaa!kumbe sio peke yang ninaejiulz hyo
 
Utasumbuka kutafuta mshikaki wenye mfupa...daaa cjui yanamtokaga wap!!!
 
Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.
We laugh because we have spirit of happiness,sasa mpaka wa meet vigezo vya roho yako ni ngumu.Hata hvyo wanatumia akili nyingi kukuzd ila uwezi kukubali.
 
Alipokuwa MC ktk ile KSS mbele ya JK, alisema: "Nzi akiacha ujinga kidogo, atatengeneza asali!" Mbavu ziliniuma usiku ule, mpaka wife akanionea huruma!
 
Back
Top Bottom