Nakuk bin laaden
Member
- Aug 29, 2013
- 37
- 3
Niliposoma post yako ya kwanza kwenye uzi huu...mara moja nikagundua kuna 'technical error' katika mtazamo wako juu ya vichekesho vya Tanzania (Orijinal Komedi na wenzake...). Ugunduzi wangu umethibitishwa na post yako niliyonukuu hapa.Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.
Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.
Sio Kigamboni tu karibu vivuko vingi, issue hapa ni kwamba mara nyingi upande wa pili wa kivuko huwa kuna usafiri ambao unategemea zaidi abiria wanaotoka kwenye pantoni hivyo anaejaza ndio anaondoka hivyo ukichelewa kupanda gari maana yake utabaki pale mpaka pantoni nyingine ije, ila kwa kigamboni nadhani wao ni kuwahi daladala tu na si vinginevyo
hata simu iwe na credit kiasi gani haiwezi kuingia a lvl
Huwa ananifurahisha sana huyu jamaa.baadhi ya vimisemo ni .kunguru ni ndege lakini habebi abiria. .victoria ni ziwa lakini mtoto hanyonyi. Kumbuka ndege haina side mirrow. Ebu endelea na ww kama una unavifahamu .
hahahah...............tumbo linauma
kuna moja alisema ile tabia ya watu wa kigamboni wakishuka kutoka kwenye pantoni kukimbia baadaye watakuja kuwa wanariadha mahiri.................hafu hii ni kweli najiuliza sana kwanini uwa wanakimbia?
aiseemchicha hauuzwi buchani
Daily News halisomwi tandale kwa mtogole
We laugh because we have spirit of happiness,sasa mpaka wa meet vigezo vya roho yako ni ngumu.Hata hvyo wanatumia akili nyingi kukuzd ila uwezi kukubali.Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.
kuna moja anaxema "ukitaka kujua umuhimu wa makalio,kalia kichwa"