Misemo ya Mpoki jamani!

Kumbe hauishi bongo!basi huwez kucheka comedy za kibongo znaendana na mazingira!mwenyewe huwa napata shida sana kucheka comedy za wazungu au wamerakani maana I can't relate ! I guess that's your problem too mkereketwa!
kama ni mchezo wa ngumi, hapo umetumia kipigo cha knockout mkuu. Huo ndio ukweli. Hata mimi ukinipa bure dvd ya mr bin sichukui
 
Usimsifu baba yako kwa kukimbia sana msifu na anaemkimbiza. Nyoka hana kiuno ndio mana havai shanga shangazi!.
 
kama hutakiwi kuendesha gari ukiwa umelewa mbona bar kuna carpark?
 
The comedy siyo ya kuchekesha ni mamna ya kufikisha ujumbe fulani kwa wadau . Wasikilize kwa makini utagundua aidha wanakumbushia jambo au wanasisitiza jambo ambalo limeshazungumzwa na vyombo vingine vya habari.
 
ile post yako ya kwanza siku kuelewa, saa hii nimekupata...... ila nadhani una DHARAU.... watanzania hatuko hivo JIREKEBISHE
 


Mtu asiejitambua utamjua tu,akiwa na ki titlle kimoja kila sehem atakiingiza ili mpate kujua,kwani ungechangia tu bila kusema haupo tz ingekuwaje?au ulikuwa unajitambulisha kama upo nje?acha ushamba huo,kama wewe huvutiwi na comedy hizo sio uponde mpaka wanaovutiwa nazo,kukaa nje nje ya bongo sio sababu'ila sema ulimbukeni tu unakusumbua,
 

nje kwenyewe utakuta ni pale namanga yeye yupo upande wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…