Misemo ya Mpoki jamani!

Misemo ya Mpoki jamani!

Masanja kuna dizaini kama huwa analazimisha watu kufurahi. Ila huyu jamaa na joti ni noma. Sema tu wanamfagilia JK.
 
'hata uwe naodha hodari namna gani,aendesh meli kwenye swimmingpool
 
Ka mapenz ni pesa olewa na benk n choo cha shimo hawaflash .......na aaaaah...
 
Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.

I feel sorry for you too. Ungekuwa huku ungeelewa kwa nini wanaact vile. Ni maisha yetu ya ki-bongobongo yalivyo.
Mfano, chukulia mkaazi typically wa Tandale anunue gazeti la Daily News, si itakuwa kituko? Kule nenda kauze kiu, ijumaa, uwazi ndo litatoka. Kumbuka nimesema mkaazi typical wa Tandale.
 
Back
Top Bottom