Misemo ya Mpoki jamani!

kama huishi bongo unaangalia za nn,
kwani umelazimishwa
 
Sooo wht!!! Kuna aliyekuuliza? ....... ndio wale wale mnajifanya ht kuandika kiswahili hamuwezi kumbe hamna ki2. unafanya kazi za ndani huko halafu unajitaaamba na kuwakashifu wasomi wa UDSM.

yani huyo jamaa cjui mkereketwa anaonekana ni Bonge la mshamba,
sor nimelopoka
 
jamaa kaniharibia mood
 
huyu jamaa vipi! wa wapi jamani mbona simuelewi.....
kaka acha dharau na kakingereza kako ka kubahatisha
umepotea njia...
labda utueleze comedy za kwenu huko sijui ni marekani, huwa zikoje...
ebo!
 
Kumpenda asiyekupenda ni sawa na kusubiria meli airport!
 
huyu jamaa vipi! wa wapi jamani mbona simuelewi.....
kaka acha dharau na kakingereza kako ka kubahatisha
umepotea njia...
labda utueleze comedy za kwenu huko sijui ni marekani, huwa zikoje...
ebo!

ningekua mchawi ningemloga,
natamani kumtukana tusi kubwa,
ila kamavp 2mwache ujumbe umefika
 
jamaa ni mrefu hadi akinyanyua shingo kidogo anaiona kesho.
 
Shati lilochakaa ndio dekio jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…