Misemo ya Mpoki jamani!

Misemo ya Mpoki jamani!

hahahah...............tumbo linauma
kuna moja alisema ile tabia ya watu wa kigamboni wakishuka kutoka kwenye pantoni kukimbia baadaye watakuja kuwa wanariadha mahiri.................hafu hii ni kweli najiuliza sana kwanini uwa wanakimbia?
 
wanawah usafir sister c unajua usafr wa mabom center(mbagala na gomz)
 
mimi nahisi wameshazoea mana hata mchana wanakimbia wakati mchana usafiri siyo tabu...........ni mazoea tu.
c unajua tenah mazoea yana tabu bt ushamba pia unawasumbua kwan wote wanaokmbiaga unawaonaje??!!
 
Back
Top Bottom