Naomba jina la wimbo mkuuFuata nyuki wa mashine uambulie unga- Wimbo wangu mwenyewe.
Sawa bossSijautambulisha rasmi ila wiki hii nitakuwa na tour huko Dar kuachia hicho kibao.
Blaza sijakuele haponimegundua vitu viwili tofauti..ni sawa sababu vyote ni tofauti-Songa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haujamuelewa sababu haujaelewa