Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenichekesha sana ha ha ha ha ha ha ha sasa watawapeleka wapi manake hata ofisi hazitatosha au kila kichwa kikasimamie mashine moja ya EFD huko mtaani[HASHTAG]#Mzizi[/HASHTAG] uliojichimbia chini umeamua kuwaajiri wote 56,815 waliiomba TRA kama madaktari wa Kenya kutokana na kudhihakiwa mtandaoni.
[HASHTAG]#Mzizi[/HASHTAG] uliojichimbia chini umeamua kuwaajiri wote 56,815 waliiomba TRA kama madaktari wa Kenya kutokana na kudhihakiwa mtandaoni.