Misemo ya wakosaji

Misemo ya wakosaji

Chakula cha hotel hakina afya— junky
Hapa kuna ukweli chakula cha afya pika kwako, hotelini upishi wake wa kibiashara sio kwa afya ya mteja.
Wenye pesa hawana furaha maishani
Hii kauli hutoka kwa wenye elimu ya dini sasa wakiona hutoi mchango watakusema mbahili au hela ya majini. Hivi kama huna hela si utaishia kuishi maisha ya dhiki na kuwa mfanyakazi wa wenye hela.
 
Back
Top Bottom