Misemo ya zamani mitamu sana

Enzi hizo fedha/hela tulikuwa tunaziita;

1. Mawe
2. Njuluku
3. Mkwanja
3. Ngawila
4. Mapene
5. Mshiko
6.Mavumba
7. Mpunga
8. Kisu
9. Chapa
10. Fuba
11. Mzigo
12. Uchumi
23. Shekeli n.k n.k
 
Kampuni ya kusambaza maji ya dawasa ilikuwa inaitwa nua.
 
Enzi hizo fedha/hela tulikuwa tunaziita;

1. Mawe
2. Njuluku
3. Mkwanja
3. Ngawila
4. Mapene
5. Mshiko
6.Mavumba
7. Mpunga
8. Kisu
9. Chapa
10. Fuba
11. Mzigo
12. Uchumi
23. Shekeli n.k n.k
200 ya noti iliitwa Sangala
 
Mwalimu Julius Kambarage tulimuita "Mchonga"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…