Ndugu wana jukwaa, tarehe 25 June 2024. mishahara ya wafanyakazi wa serikali ilitoka. Hata hivyo hakuna nyongeza yeyote, hata ile annual increment. Cha kushangaza, vyama vya wafanyakazi viko kimya hata kutoa neno hakuna. Hivi vyama vina faida yeyote kwa wafanyakazi ama viko kwa masilahi yao ?