Yan laiti mngejua mishahara wanayokunja hao viongozi wenu wa hivyo vyama inayotokana na michango yenu mngezimia🤣🤣🤣Nimwandika barua kujitoa TUGHE. Kuchangia 19,000/= kila mwezi kisa kupewa Tshirt na Mwavuli Mei Mosi ni utumwa.
Nishaandika barua, ipo kwa HR. Sitakaa nikavaa t-shirt zao Ijumaa ijayo naenda kufuata feedback. Isifike tar 16 aisee.Yan laiti mngejua mishahara wanayokunja hao viongozi wenu wa hivyo vyama inayotokana na michango yenu mngezimia🤣🤣🤣
Ndugu yangu usivilaumu vyama mfumo ndo unashida nisikudanganye wale wote viongozi ni watumishi wa umma wako kwenye hivyo vyama Kwa mkopo tu lakini wao ni waajiriwa wa serikali huwezi mchimba biti mwajiri wako😂😂😂Nishaandika barua, ipo kwa HR. Sitakaa nikavaa t-shirt zao Ijumaa ijayo naenda kufuata feedback. Isifike tar 16 aisee.
Kwani huyo afisa utumishi mwenyewe mbabe sijui Huwa wanapewa bahasha ni wazito kukuondoa kwenye makatoNishaandika barua, ipo kwa HR. Sitakaa nikavaa t-shirt zao Ijumaa ijayo naenda kufuata feedback. Isifike tar 16 aisee.
Ulifanikiwa?Nishaandika barua, ipo kwa HR. Sitakaa nikavaa t-shirt zao Ijumaa ijayo naenda kufuata feedback. Isifike tar 16 aisee.