kido madini
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 223
- 144
Mods nipigeni BAN kwani mshahara hujapanda?? Hahaa hii serikali imelisahau hili kundi la wafanyakaziMSHAHARA UKIPANDA MODS NIPIGENI BAN
Acha tuumie dadeki iko siku mambo yatakua sawa
Ila wahusika kumbukeni mliahidi kuwa mtawaboreshea maslahi watumishi
Au ni mpaka 2020 wiki mbili kabla ya octoba 25?